Pre GE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

Pre GE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hili linaweza kutokea ikiwa haya mawili yatatokea.

Kwanza, CCM ikubali CHADEMA iwe na idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge,
Pili, Mbowe ahamie CCM agombee ubunge na ashinde.

Katika hayo mambo mawili, sioni hata moja likiwezekana.

 
Mmh! Kama itakuwa hivyo wachanga karata wanajua kucheza na akili za wananchi.
Hizi ni chenga za Iniesta wakati akiwa Barca.
 
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Au waziri wa kunywa konyagi
 
Back
Top Bottom