Pre GE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tubadilike !
Otherwise KARMA is gonna do the works very soon 🙏🙏 !
Mabadiliko ya kweli yanaanza na watu wenyewe, nashangaa sana wanasiasa wanalia na sheria. Sheria za uchaguzi za nchi yetu ni asilimia ndogo sana ya tatizo tulilo nalo, nafikiri hazifiki hata 4%.

Watu wa nchi hii sio waadilifu na wenye dola hawaamini katika demokrasia na utii wa sheria, hili ndio tatizo.
 
Muda utaongea !
 
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Alisikika chizi mmoja pale.manzese

Kupatamkichekesho kamahiki andika

CHADEMA kwenda no 15777
 
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Hilo jizi lako halina nafasi Tanzania
 
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Ule uwaziri mkuu mliosema kwamba ataapishwa baada ya masaa 72 mliishia wapi? Au ndo huu mliuahirisha?
 
Back
Top Bottom