The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Malihenge hakujitakia .ila kifo cha magu ni adhabu ya mungu kwa uovu na uuaji wakeWacheni unafiki nyinyi, juzi tu mumeshangilia kifo cha Magufuli...
Kwahiyo nyinyi mlimfurahisha Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malihenge hakujitakia .ila kifo cha magu ni adhabu ya mungu kwa uovu na uuaji wakeWacheni unafiki nyinyi, juzi tu mumeshangilia kifo cha Magufuli...
Kwahiyo nyinyi mlimfurahisha Mungu?
sawa, tulieni hivyo hivyo.Malihenge hakujitakia .ila kifo cha magu ni adhabu ya mungu kwa uovu na uuaji wake
Mahesabu yameenda kombo...Kuna watu wa tos dice every direction thinking some of us are stupid...Nchi ni yetu sote na tutaijenga Kwa jasho na damu...Tanzania njema ni lazima apende au asipende mtu
Hili linaweza kutokea ikiwa haya mawili yatatokea.
Kwanza, CCM ikubali CHADEMA iwe na idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge,
Pili, Mbowe ahamie CCM agombee ubunge na ashinde.
Katika hayo mambo mawili, sioni hata moja likiwezekana.
kwa katiba ipi ndugu?Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Huo mkate ulishaingia fungi...Mine eyes and ears...Lord You are mighty and able!Pascal Mayalla njoo utusaidie huku. Hii ndiyo nusu mkate waliokubaliana ccm na chadema ktk maridhiano? Kuna uzi wako mmoja umetaja suala la nusu mkate.
Hakuna Rais hapo, na hakuna Rais kwasasa Bali ni bomu Tena la kienyejiFreeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Bora huyu kuliko yule alokuwa ananyanganya watu helaHakuna Rais hapo, na hakuna Rais kwasasa Bali ni bomu Tena la kienyeji
Wewe unamuabudu Mbowe Kwa sababu anakuzidi Kila kitu? Na umejuaje anakuzidi Kila kitu, wewe Basha wako?Wewe mwenye Phd Unamzid nini Mbowe labda? Mbowe unakuzid kila kitu na si wewe tu bali ukoo wenu wote combines,hilo unalijua
Makengeza ni dalili ya Wizi wa mali za ummaMalihenge hakujitakia .ila kifo cha magu ni adhabu ya mungu kwa uovu na uuaji wake