Pre GE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nilishawai kuwambia mbowe atarudi ccm dalili ya mvua ni mawingu wakati wowote mvua inanyesha si mmeona anampigia kampeni saa 100 pale kanisani kkkt
Watu wanaawaamini sana wanasiasa
 
Waziri mkuu ambae historia inaonyesha kuwa alikuwa ni DJ?jamani wakati mwngine tujaribu kuwa waungwana
Rajoelina wa Madagascar alikuwa dj kabisa ana-scratch kwenye kumbi za starehe lakini alifanikiwa rais wa nchi.
 
Waziri mkuu ambae historia inaonyesha kuwa alikuwa ni DJ?jamani wakati mwngine tujaribu kuwa waungwana
Luis Inacio Lula Da Silva kiongozi wa Taifa Kubwa Kabisa aMerika Kusini alikuwa fundi viatu.
 
Waziri mkuu ambae historia inaonyesha kuwa alikuwa ni DJ?jamani wakati mwngine tujaribu kuwa waungwana
Alikuwa anachoma nywele huyo msimuone hivyo na biashara ya NGADA anaijua sana!
 
Hili linaweza kutokea ikiwa haya mawili yatatokea.

Kwanza, CCM ikubali CHADEMA iwe na idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge,
Pili, Mbowe ahamie CCM agombee ubunge na ashinde.

Katika hayo mambo mawili, sioni hata moja likiwezekana.

Yaani Chadema au Chama kingine chochote hakiwezi kupata wabunge mpaka Ccm wakubali ??!!
😅🙄😱
Maajabu ya inayoitwa Bongoland !
Ngoja Tusubiri tuone tunapelekwa wapi !!
 
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Ngoja kwanza mkewe Erythrocyte aje kuthibitisha
 
Hili linaweza kutokea ikiwa haya mawili yatatokea.

Kwanza, CCM ikubali CHADEMA iwe na idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge,
Pili, Mbowe ahamie CCM agombee ubunge na ashinde.

Katika hayo mambo mawili, sioni hata moja likiwezekana.

Una hoja nzuri sana. Lakini mwandiko wako ni mbaya! Sisi wenye uoni hafifu unatukera
 
Yaani Chadema au Chama kingine chochote hakiwezi kupata wabunge mpaka Ccm wakubali ??!!
😅🙄😱
Maajabu ya inayoitwa Bongoland !
Ngoja Tusubiri tuone tunapelekwa wapi !!
Huo ndio uhalisia, au umeusahau uchaguzi wa 2020?
 
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Kwani Uraisi hautaki tena au imekuwaje? 😆
 
Back
Top Bottom