Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
KabisaIngewezekana ikiwa angekubali Katiba mpya mwanzoni mwa utawala wake.
Na kusema kuunda SUK bara Hilo haliwezekani.
Sioni akigombea 2025.
Tusubiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaIngewezekana ikiwa angekubali Katiba mpya mwanzoni mwa utawala wake.
Na kusema kuunda SUK bara Hilo haliwezekani.
Sioni akigombea 2025.
Tusubiri.
Jitayarishe!Wapiga ramri chonganishi mmeanza kazi
Linawezekana mkuu tema mate chini ni
Hili linaweza kutokea ikiwa haya mawili yatatokea.
Kwanza, CCM ikubali CHADEMA iwe na idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge,
Pili, Mbowe ahamie CCM agombee ubunge na ashinde.
Katika hayo mambo mawili, sioni hata moja likiwezekana.
Nusu Mkate ni CCM imekubali kuachia baadhi ya majimbo ili wapinzani waingie bungeni likiwemo jimbo la Hai!, TL alipotua nchini, akasema "this is rubbish!", Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?Pascal Mayalla njoo utusaidie huku. Hii ndiyo nusu mkate waliokubaliana ccm na chadema ktk maridhiano? Kuna uzi wako mmoja umetaja suala la nusu mkate.
CCM hawaaminiki,Nusu Mkate ni CCM imekubali kuachia baadhi ya majimbo ili wapinzani waingie bungeni likiwemo jimbo la Hai!, TL alipotua nchini, akasema "this is rubbish!", Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P
😇😇😇😇Waziri mkuu ambae historia inaonyesha kuwa alikuwa ni DJ?jamani wakati mwngine tujaribu kuwa waungwana
Jifunze tofauti ya kula na kura, vilaza mnachosha sana!Kwamba ahamie CCM afu bado wana hai wampe kula mwamba..
au CCM na chadema ziungane
Dah hii ndoto unayoota ni FAKEFreeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Daah! Ama kweli huu ni ujinga.Nusu Mkate ni CCM imekubali kuachia baadhi ya majimbo ili wapinzani waingie bungeni likiwemo jimbo la Hai!, TL alipotua nchini, akasema "this is rubbish!", Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P