Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Hujui maana ya neno mkoloni au maana ya neno COLONY! Ungejua maana ya maneno hayo usingeandika haya yote!
 
Mbowe ni chuma ,Wenye uwezo wa kuhimili mateso kwa zaidi ya miaka 20 ni wacheche Sana.Namuombea Mungu azidi kumpa nguvu kwa kupignia haki za watu ambao nao wanampinga .Tayali keshashinda imeabaki kutangazwa tu.
 
Wakati mwengine jF wako members wenye mizaha kupita maana halisi ya huu msamiamti mzaha.
 
dah! we kwa kumsifia hujambo, yaani dj muangushwa na nyagi ndo awazidi magwij ka nyerere?
Nyerere alifanya kazi ya kawaida tu, maana Tanganyika was a protectorate, Uhuru ilikuwa Ni haki ya Watanganyika ambayo wangeliipata. Watanganyika walikuwa wanalelewa ili waweze kujitawala baadaye. Tatizo lilikuwa Ni WHEN.

Kenya was a colony and therefore they had a justified cause to fight under MAUMAU, we did not have a military fight. Nyerere alikuwa na haraka ya kupata Uhuru (which was good anyway), lkn siyo kuwa alikuwa na struggle ya kufa mtu. Nyerere's life was not in danger as Mbowe's is.

Sasa hivi Mbowe Ni Kama anapigana Vita ya msituni maana anaweza kufa wakati wowote Kama walivyokufa akina Mawazo, Ben etc. Nyerere was not facing such a danger.

By the way, unamuita DJ, katika familia yako Kuna mtu wa elimu Kama ya Mbowe? Utajiri Kama wa Mbowe, Heshima Kama ya Mbowe? Kuwa mkweli , usitukane.
 
Kichwa cha habari ya mada yako kina walakini.

Jaribu kukirekebisha kama inawezekana.

Hakiipi uzito taarifa unayoiwasilisha ndani ya mada, badala yake kinazua utata kwa jambo ambalo halitakiwi kuwa na utata wowote.

Mbowe atakuwa na sehemu yake ya heshima bila ya lazima ya kulinganishwa na yeyote.

Mbona mnayafanya mambo mazito haya kuwa ya utaniutani wa Yanga na Simba? Hii JF limegeuka kuwa kijiwe cha utani kwa kila jambo?

Habari kama hii inamsaidia kitu gani Mbowe, CHADEMA au waTanzania wengine wote wapenda haki?
 
Back
Top Bottom