Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huyo jamaa ana frustrations.Ni wa kupuuzwa tu.Nilitaka nikujibu, nitafungiwa, ngoja saa Tisa usiku nitakujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ana frustrations.Ni wa kupuuzwa tu.Nilitaka nikujibu, nitafungiwa, ngoja saa Tisa usiku nitakujibu
Mtaalam angalia hiyo picha vizuri.hapo ilikuwa kabla SSH hajawa Raisi.asante.Lini Mbowe alikwenda Ikulu na kusalimiana na rais Samia kama sio uongo wako? Umezidi hebu punguza kidogo.
Tulishasema hapa Mbowe ni mgumu sana kwenye siasa kwasababu wazee wa Dar-es-salaam wanamuaona kama mtoto wao. Mbowe anajulikana tokea miaka ya 1980's na wamemuona akikuwa na biashara zake leo hii hawawezi kukuelewa ukimwita majina ya ajabu. Kwa ufupi wanamjua kuliko viongozi wengine wote wa vyama vyote. Kwasababu hii haohao CCM wa Dar ndiyo watakuwa wakwanza kukuchukia na sio hata upinzani. Siasa zina mipaka na hapa serikali imeruka mipaka yake
una umri gani ?Mkuuu umepoteza tu muda wako. Nenda Print tunza room kwako na Pia watumie Wale unaoruka nao kwa mabawa ya rangi moja. Mbowe Ni mtu wa kawaida sana. Labda kama wewe mwenzetu una maana nyingine.
nyerere kaipigania afrika huwezi mlinganisha na djNyerere alifanya kazi ya kawaida tu, maana Tanganyika was a protectorate, Uhuru ilikuwa Ni haki ya Watanganyika ambayo wangeliipata. Watanganyika walikuwa wanalelewa ili waweze kujitawala baadaye. Tatizo lilikuwa Ni WHEN.
Kenya was a colony and therefore they had a justified cause to fight under MAUMAU, we did not have a military fight. Nyerere alikuwa na haraka ya kupata Uhuru (which was good anyway), lkn siyo kuwa alikuwa na struggle ya kufa mtu. Nyerere's life was not in danger as Mbowe's is.
Sasa hivi Mbowe Ni Kama anapigana Vita ya msituni maana anaweza kufa wakati wowote Kama walivyokufa akina Mawazo, Ben etc. Nyerere was not facing such a danger.
By the way, unamuita DJ, katika familia yako Kuna mtu wa elimu Kama ya Mbowe? Utajiri Kama wa Mbowe, Heshima Kama ya Mbowe? Kuwa mkweli , usitukane.
Kabisa Mbowe amekuwa shujaa sio wa Tanzania tu bali Africa nzima.
Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu ya Mwl Nyerere, Mandela, Nkurumah na wapigania uhuru wengi wa zamani, kwa vile yeye anapambana na watawala makatili wa kiafrica ambao wamejitwisha udikteta kutokana na kulewa madaraka baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa wazungu.
Tukumbuke kwamba kupambana na Mkoloni mweusi ni hatari zaidi kuliko mkoloni mweupe, hii ni kwa sababu wako tayari kukufanya chochote ili waendelee kufaidi utamu wa madaraka ya nchi yaliyojaa neema kibao za marupurupu walizojiwekea wao wenyewe kwa kutumia katiba mbovu walizoziandika wenyewe kwa matakwa yao.
Vitisho vyote hivi kutoka kwa watawala weusi Mbowe anavijua lakini hakuwahi kuogopa wala kusalimu amri, hakuwahi kujidhalilisha wala kusaliti umma unaotaka Uhuru wa kweli kama wafanyavyo Mamluki wengine mnaowafahamu, ambao walipoona vitisho na njaa vinazidi wakaamua kusalimu amri. Hii ndio maana pamoja na kufahamu kwamba watawala wa Tanzania hawataki Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi na kwamba kama angeendelea kuipigania angeuawa ama kukamatwa na kupewa kesi mbaya lakini hakuogopa.
Wapigania uhuru wa zamani waliungwa mkono na weusi wenzao kwa vile lengo lilikuwa kupata uhuru, lakini kwenye harakati za sasa za Mbowe na Chadema ni kuleta usawa kwenye nchi kwa kuleta katiba itakayowaondoa miungu watu, hii kazi si nyepesi na imejaa mamluki wengi mno, hapa ndipo Mbowe anapokuwa tofauti na wale wa zamani na ndio panapomuweka juu yao, ni hatari sana kufanya siasa kwenye nchi iliyojaa mamluki wanaotega mitego ya usaliti ili walipwe bakhshishi na watawala, hata hivyo Mbowe ameruka vihunzi vyote na kushinda na sasa anapambana na Polisi tu, wanasiasa walio madarakani wanamuogopa vibaya sana.
Akili hizi za hovyo kabisa, awe ndo maarufu Africa? Labda Africa ya kwenye Saccos hapo kwa baba mkwe.

Wakati mwingine huwa naona erythrocyte ndiye j mukia.dah! we kwa kumsifia hujambo, yaani dj muangushwa na nyagi ndo awazidi magwij ka nyerere?
Hakuna cha siasa za kimalaya wala nini. Hilo ligaidi lenu litaendelea kusota tu.Mkuu tumia hata akili kidogo tu.Hiyo Picha huoni niya zamani?Acha siasa za kimalaya Malaya !Acha kuchota laaana
Mambo ni motoo Chadema mbele kwa mbele....mwendo mdundo
unatia aibu sana !Hakuna cha siasa za kimalaya wala nini. Hilo ligaidi lenu litaendelea kusota tu.
Mbowe sio mtoto yule nimeamini. Kesi yake imevuta attention ndani na nje ya Bara la Afrika.Tulishasema hapa Mbowe ni mgumu sana kwenye siasa kwasababu wazee wa Dar-es-salaam wanamuaona kama mtoto wao. Mbowe anajulikana tokea miaka ya 1980's na wamemuona akikuwa na biashara zake leo hii hawawezi kukuelewa ukimwita majina ya ajabu. Kwa ufupi wanamjua kuliko viongozi wengine wote wa vyama vyote. Kwasababu hii haohao CCM wa Dar ndiyo watakuwa wakwanza kukuchukia na sio hata upinzani. Siasa zina mipaka na hapa serikali imeruka mipaka yake