Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Na wewe unangoja kufariki lini; au unafikiri hautafariki?
Wewe ndiye unayejiona sawa na Mungu,wewe ndiye unayejiona unastahiri kuabudiwa ,wewe ndiye unajitwaliye utukufu ,wewe ndiye usiye Fikiri kuhusu kifo Wala LAANA kisa una lipwa na CCM.

Jaribu kuwa na akili hata kidogo kwenye kaburi lako CCM haitakuwepo,kwenye adhabu ya moto wa milele CCM na serikali unayoipigania pasipo akili na kuvuna dhambi na laana ya familia yako CCM hairakuwepo
 
Hakuna aliye kuwa na roho kama ya MekoYa kwako Kwa sasa ni roho mbaya kupita ya Meko.Huenda kilicho muondoa duniani ilikuwa ni hiyo roho ya LAANA kama yako...
hiyo laaana kwa sasa inmatesa Mwenyekiti wako Mbowe.
ona laaana ya damu za watu inavyo mtesa, ndio maana hata mke wake mwenyewe kamtelekeza hana habari naye.
 
Wewe ndiye unayejiona sawa na Mungu,wewe ndiye unayejiona unastahiri kuabudiwa ,wewe ndiye unajitwaliye utukufu ,wewe ndiye usiye Fikiri kuhusu kifo Wala LAANA kisa una lipwa na CCM.Jaribu kuwa na akili hata kidogo kwenye kaburi lako CCM haitakuwepo,kwenye adhabu ya moto wa milele CCM na serikali unayoipigania pasipo akili na kuvuna dhambi na laana ya familia yako CCM hairakuwepo
Mbona insha ndefu, vipi?
 
Huyu huyu mlevi wa Konyagi ndio awe mpigania haki wa Africa, hivi jamani mko serious kweli nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Moderator Hukutakiwa kukerwa na heading niliyoweka , nimekuwekea ninachokijua ndani ya uzi kama ushahidi wa Mbowe kuwa juu ya wazee wetu wa zamani ...
Nimekusoma , tena mara mbili mkuu Erythro ili nihakikishe sikukosa kuelewa ulichoandika hapa.

Kama nia yako ya mada hii haikuwa kuwalenga watani zako, kama ilivyo Simba na Yanga, kichwa cha mada kama kilivyorekebishwa ndio sahihi kabisa kulingana na mada yako.

Lakini kama lengo lako la mada uliyowasilisha hapa lilikuwa ni kusikia watani zako watasemaje, basi huenda kichwa cha mada ulichotumia mwanzo kilikuwa ndiyo bora kwa kazi hiyo ya kuwapandisha mizuka hao watani zako.

Nilisita kuandika haya, lakini imenilazimu niyaweke hivyo hivyo baada ya kuona ulalamishi uliouweka hapa.

Mbowe hawezi kutokua mashuhuri kama anastahiri, kwa vile tu Mandela, Nkrumah au Nyerere walikuwa mashuhuri. Kazi zake zitaonekana na watu watasifu kazi hizo bila kujali analinganishwa na nani, tena kwa nyakati tofauti kabisa!

Nisichoweza kuhoji juu ya mada yako, ni huyu mkoloni mweusi CCM na viongozi wake. Ametokea kuwa mkoloni mbaya zaidi ya yule aliyelazimika kuondoka wakati tunapata uhuru wetu.

Kazi ya kumwondoa huyu mkoloni mpya ni dhahiri itakuwa ngumu zaidi, na itahitaji ushirikiano wa makundi mbalimbali zaidi ya washirika wa utani wa Yanga na Simba.
 
Nimekusoma , tena mara mbili mkuu Erythro ili nihakikishe sikukosa kuelewa ulichoandika hapa...
Unajua hawa mods wakati mwingine wanakuwa watu wa kawaida wenye upande wao, kwahiyo nyuzi zingine zinawaumiza , ndio maana sometimes tunawakumbusha kwamba jf ni jukwaa huru , as long as mleta uzi hajatukana huna haja ya kukereka
 
Hakika historia imejirudia sasa hapa Afrika.

Tanzania tunaye Mandela wetu baada ya Nelson Mandela wa Afrika Kusini kufariki.

Mh Mbowe amejitokeza kuchukua hiyo nafasi ya marehemu Mandela .

Wakati watanzania mamilioni wakimlilia mh Mbowe kwa kupewa kesi ngumu lkn yeye na washitakiwa wenzake wakiwa wanachekelea tu.

Hakika uhuru haupo mbali sana kwetu sisi watanzania.

 
Back
Top Bottom