Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Mara inatokea Mbowe anafungwa na anapokuja kutoka anakuwa Raisi kama Chakware na mandera baasa ya kutumikia kifungo kama miaka 30 jela utakuwa ni ushindi mkubwa sana miaka hiyo na CCM itakuwa mwisho kabisa.

Ambapo kwa kadilio la chini atakuwa na miaka 85 kama babu wa taifa.
Umri ni namba tu
 
Mwamba anakubalika si Africa tu bali duniani kote..

Usishangae baada ya haka ka kesi uchwara kakiisha basi ataalikwa kwenye makongamano makubwa ya kidemokrasia duniani.
 
Mwamba anakubalika si Africa tu bali duniani kote..

Usishangae baada ya haka ka kesi uchwara kakiisha basi ataalikwa kwenye makongamano makubwa ya kidemokrasia duniani.
Mungu mbariki Mbowe
 
Anatajwa na nani? Si ndo wewe umemutaja?,

haki zipi anazopigania?

Kama kukaa magereza ndo umaarufu basi Sugu ndo shujaa,maana yeye alitumikia mpaka kifungo.
 
Back
Top Bottom