Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Umri ni namba tu
 
Mwamba anakubalika si Africa tu bali duniani kote..

Usishangae baada ya haka ka kesi uchwara kakiisha basi ataalikwa kwenye makongamano makubwa ya kidemokrasia duniani.
 
Mungu mbariki Mbowe
 
Anatajwa na nani? Si ndo wewe umemutaja?,

haki zipi anazopigania?

Kama kukaa magereza ndo umaarufu basi Sugu ndo shujaa,maana yeye alitumikia mpaka kifungo.
 
sasa unalia nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…