Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
🤣🤣🤣🤣Yaan unalazimisha wafanye kwa matakwa yako? Never ever kila chama kina taratibu zake mkuu. Ndio maan wanaandaa watu wao ndan ya chama hawatokubali mapandikizi, Jambo lingine... Biashara ya atake asitake tuu taa muongezea muda hii inamaana hakukua na mwingine wa kuendeleza ilani ya CCM? Huu ni mfano wa hoja nimekupa ambao unashabihiana na mada.Kwanini sasa hizi Machinery zisilete hao watu sasa hivi? Ukiona mpaka ccm wanaweka mamluki wagombee na Mbowe ujue ndani ya chadema hakuna wa kushindana na Mbowe.
Leo naangalia maigizo ya uchaguzi wa Mwenyekiti CCM.PTuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!. Miongoni mwa masharti ya usajili wa...www.jamiiforums.com
After that Sumaye akarudi wapi 🤣🤣🤣🤣 ni moja ya mamb ulipaswa kujiuliza kwa kina, why alipokosa akarudi alikotoka kwann asingebaki CDMSumaye alipojaribu kugombea uenyekiti, aliambiwa hivi na Mbowe 'sumu haionjwi' bahati mbaya sisi wananchi na wanachama tuna upeo mdogo. Ila cheo cha mwenyekiti wa chama cha siasa chenye wanachama wengi, ni dili la kupiga pesa sana. Hakuna mtu ataacha hicho cheo never. Mwenyekiti wetu ni 'ntu ya dili'
Mkuu angalia vizuri wasije wakakuchachawangweHali halisi mnaiona na mnashuhudia kuwa huyu mwenyekiti wetu ni mtu wa kujali biashara zake na sio chama chetu.
Mbaya zaidi amefanya chaka mali yake na hili ni kosa kubwa sana.
Sasa hivi anatambua kuwa hatuko vizuri kisiasa lakini amejificha Dubai.
Tupambane makamanda, tumuondoe madarakani, tupate mwenyekiti ambae atakuwa na nia njema na chama chetu. Sio kutugeuza sisi ndondocha.
La sivyo tutaambulia patupu.
Utake usitakeilikuwa hoja ya watu wachache wajinga na mwenyewe alilitolea ufafanuzi kwamba hataongeza hata sekunde 1. Na hii ya kujiongezea muda iliwahi kuwepo hata enzi za jk.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan unalazimisha wafanye kwa matakwa yako? Never ever kila chama kina taratibu zake mkuu. Ndio maan wanaandaa watu wao ndan ya chama hawatokubali mapandikizi, Jambo lingine... Biashara ya atake asitake tuu taa muongezea muda hii inamaana hakukua na mwingine wa kuendeleza ilani ya CCM? Huu ni mfano wa hoja nimekupa ambao unashabihiana na mada.
Mataga ni hasara kwa nchi hata kureason tu ni tatizo, pole sanaCCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema
Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha
kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Dictator keshakufa na kufukiwa chato,tz sasa hivi tuna raha kuliko nchi yeyote duniani,mbowe atakua mwenyekiti cdm mpka achoke...dada dawa ya genye ubanduliwe sio kutokwa povu,msalimie mzee halimaCCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema
Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha
kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Bora yu mzima kuliko kuwa zombie la Marehemu.Utakua huna akiliZombie la Mbowe
Kama alivyofanya JPmEti nini? Kaulize familia ya Chacha Wangwe!
Yani unataka Mbowe akifanya umafia aje akuoneshe? Jinga kweli wewe
Safi kabisa.Dictator keshakufa na kufukiwa chato,tz sasa hivi tuna raha kuliko nchi yeyote duniani,mbowe atakua mwenyekiti cdm mpka achoke...dada dawa ya genye ubanduliwe sio kutokwa povu,msalimie mzee halima
Bado tunamtaka huyohuyo Mbowe kwa sababu hanunuliki hatuwezi kumuamini kumpa chama mtu mwingineCCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema
Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha
kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Well nadhan wahusika wamekusikia kama una hoja watakubaliana nawe, but hua siamin kama mtu akiwa mpinzani wako atakutakia mafanikio.Utake usitakeilikuwa hoja ya watu wachache wajinga na mwenyewe alilitolea ufafanuzi kwamba hataongeza hata sekunde 1. Na hii ya kujiongezea muda iliwahi kuwepo hata enzi za jk.
Kwa ishu ya Chadema, hoja yao kuu ni kwamba kwa miaka yote wanamuweka Mbowe maana wakiweka mwingine tofauti atauza chama.
Mbowe ni kiongozi mzuri lakini alipaswa kutengeneza tasisi yenye kujisimamia ila siyo hivi sasa ambapo taasisi inamtegemea yeye
"U.M.AL.AY" .......🤣🤣🤣 wa kisiasa....🤣🤣🤣Nilihama Chadema kwa sababu hyo.Mpka sasa naangalia pakuchukua kadi.
Kitu kimojq ninachomsifia meko ni kuwa hata ccm aliwanyoosha kweli kweli!!sasa hivi ndio mnaibuka ooh, mbona wakati yupo hai hakuna mtu alikuwa na sauti?!Mbona Mbowe kwa CHADEMA ni sawa na Kim Jong un kwa Korea's Workers Party. Yaani badala ya kuwa binadamu mnamwabudu kama Mungu.
Wewe utabaki kuonja sumu? Unayajua yatakayofuata?After that Sumaye akarudi wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni moja ya mamb ulipaswa kujiuliza kwa kina, why alipokosa akarudi alikotoka kwann asingebaki CDM
kama alivyo hovyo MEKO WENU mpaka ZILAILI 👹👹akaona bora amnyakueHuyo faru John, hovyo kabisa. Ila kajikamatia nyumbu zake wa kutosha wenye kumpigia mapambio ya sifa usiku na mchana.