Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe katugeuza mandondocha
 
..hiyo Jumamosi aseme anang'atuka.

..Wenyeviti Wastaafu wa Chadema ni wajumbe wa kamati kuu wa kudumu wa chama.

..Mbowe aking'atuka ataendelea kuwa Mzee, Mshauri, na Mjumbe wa Kamati Kuu.
 
..hiyo Jumamosi aseme anang'atuka.

..Wenyeviti Wastaafu wa Chadema ni wajumbe wa kamati kuu wa kudumu wa chama.

..Mbowe aking'atuka ataendelea kuwa Mzee, Mshauri, na Mjumbe wa Kamati Kuu.
Mimi sielewi kwa nini zinafanyika juhudi za ziada kumtaka ang'atuke. Mimi nadhani akiamua kung'atuka ang'atuke jumla ili asionekane kama ataka kuendelea kuongoza kwa remote. Amuachie Mwenyekiti akijenge upya chama kwa mfano wake. Asiwe kama Zitto.

Amandla...
 
Mbowe anaanza kuwa wa hovyo sasa, Yani siku zote alishindwa kutoa majibu Hadi jmosi,

Si kwamba alishatangaza kwamba hatagombea Tena uenyekiti,

Anaiangamiza CDM aliyoipigania kwa tamaa zake,
Tunaelekea kule kwa Lipumba na Maalim Seif
 
..hiyo Jumamosi aseme anang'atuka.

..Wenyeviti Wastaafu wa Chadema ni wajumbe wa kamati kuu wa kudumu wa chama.

..Mbowe aking'atuka ataendelea kuwa Mzee, Mshauri, na Mjumbe wa Kamati Kuu.
Aondeoke akama vipi baada ya miaka mitanao arejee tena kugombea uwenyekiti wake
 
Lissu amemfikisha pabaya Mbowe. Maskini nimemuona Erythrocyte akitokwa machozi
 
Aondeoke akama vipi baada ya miaka mitanao arejee tena kugombea uwenyekiti wake

..miaka mitano ijayo atakuwa anakaribia miaka 70.

..kwa maoni yangu huo sio umri sahihi wa kuongoza siasa za upinzani ktk mazingira ya Kitanzania.
 
anabidi kukaa pembeni apishe watu wenye akili kubwa wakae hapo

miaka 20 ameshindwa kuitoa ccm madarakani maana yake hana mbinu mbadala.
 
..kuwe na balance.

..ang'atuke kwa HESHIMA.

..asing'atuke kwa namna ambayo itaonekana kama amelazimishwa, na chama haki-appreciate utumishi wake.

..Katiba ya chama ndio inaelekeza Wenyeviti Wastaafu kuwa wajumbe wa kamati kuu. Hilo sio jambo jipya lililoibuliwa muda huu.
 
Kwa hiyo sasa mmeanza kutoa laana kwa Mbowe sio Kwa maccm tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…