Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe katugeuza mandondochaMitanzani ni mijitu minafiki Sana ivi imagine baba wa Taifa angelazimisha kukaa madarakani mwaka 1985 halafu aje labda atolewe kwa nguvu na jeshi angekuwa na heshima yeyote katika nchi hii?
Lazima tujifunze kuwajibika kwenye Jambo lolote hakuna mtu special kwenye taasisi anayeweza kukaa miaka 20 taasisi inaanguka halafu bado anataka kukaa tu pale huu ni ujinga.
Hili sio hata swala la kujiuliza kwa masaa 48 ni swala la kusema tu kwamba Mimi sigombei over!
Mbowe mbowe mbowe nimekuita Mara tatu Kama utabishana ukweli utakuwa na mwisho mbaya Sana kwa laana za Watanzania wapenda mabadiliko!!
Watu account zetu zilishafungwa kwa sababu ya hiki chama
Tenda zetu tulishazuiwa kulipwa kwa sababu ya hiki chama
Watu wameteswa wengine hawana hatia Kama wakina Akwilina maisha yao yamekatishwa Leo hii chama hiki kiishie hewani tu aisee!!
Think twice leave!!
Ataondoka nae.sasa utageuka kuwa chawa wa lissu? mana ndiyo mbowe anaondoka hivyo mtafute kazi za kufanya
Mimi sielewi kwa nini zinafanyika juhudi za ziada kumtaka ang'atuke. Mimi nadhani akiamua kung'atuka ang'atuke jumla ili asionekane kama ataka kuendelea kuongoza kwa remote. Amuachie Mwenyekiti akijenge upya chama kwa mfano wake. Asiwe kama Zitto...hiyo Jumamosi aseme anang'atuka.
..Wenyeviti Wastaafu wa Chadema ni wajumbe wa kamati kuu wa kudumu wa chama.
..Mbowe aking'atuka ataendelea kuwa Mzee, Mshauri, na Mjumbe wa Kamati Kuu.
Mbowe anaanza kuwa wa hovyo sasa, Yani siku zote alishindwa kutoa majibu Hadi jmosi,Mitanzani ni mijitu minafiki Sana ivi imagine baba wa Taifa angelazimisha kukaa madarakani mwaka 1985 halafu aje labda atolewe kwa nguvu na jeshi angekuwa na heshima yeyote katika nchi hii?
Lazima tujifunze kuwajibika kwenye Jambo lolote hakuna mtu special kwenye taasisi anayeweza kukaa miaka 20 taasisi inaanguka halafu bado anataka kukaa tu pale huu ni ujinga.
Hili sio hata swala la kujiuliza kwa masaa 48 ni swala la kusema tu kwamba Mimi sigombei over!
Mbowe mbowe mbowe nimekuita Mara tatu Kama utabishana ukweli utakuwa na mwisho mbaya Sana kwa laana za Watanzania wapenda mabadiliko!!
Watu account zetu zilishafungwa kwa sababu ya hiki chama
Tenda zetu tulishazuiwa kulipwa kwa sababu ya hiki chama
Watu wameteswa wengine hawana hatia Kama wakina Akwilina maisha yao yamekatishwa Leo hii chama hiki kiishie hewani tu aisee!!
Think twice leave!!
Poa mkuu maana ilibaki kidogo nikulambe tusibasi nakwenda cuba hutaniona hapa
Mkuu siasa naijua kiasiUmeona mbali. Naamini itakuwa hivyo.
Najiuliza tangu lini UWT mkawa watetezi wa Mbowe? kuna maelekezo ya Mwenyekiti wenuWewe ndio akili yako itagawanyika.
Kwani umepata wapi akili mpaka Ujuwe.Mkuu siasa naijua kiasi
Aondeoke akama vipi baada ya miaka mitanao arejee tena kugombea uwenyekiti wake..hiyo Jumamosi aseme anang'atuka.
..Wenyeviti Wastaafu wa Chadema ni wajumbe wa kamati kuu wa kudumu wa chama.
..Mbowe aking'atuka ataendelea kuwa Mzee, Mshauri, na Mjumbe wa Kamati Kuu.
Mjinga wewe unaniogopa balaaKwani umepata wapi akili mpaka Ujuwe.
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
====================================================
- Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake, Freeman Mbowe amesema kuwa anahitaji muda zaidi mpaka siku ya Jumamosi.
- Mbowe alidokeza kuwa ataongea na wanahabari kuhusu uamuzi kuanzia saa 5 asubuhi
Aondeoke akama vipi baada ya miaka mitanao arejee tena kugombea uwenyekiti wake
Mbowe atagombea na kushida Tena.
Mimi sielewi kwa nini zinafanyika juhudi za ziada kumtaka ang'atuke. Mimi nadhani akiamua kung'atuka ang'atuke jumla ili asionekane kama ataka kuendelea kuongoza kwa remote. Amuachie Mwenyekiti akijenge upya chama kwa mfano wake. Asiwe kama Zitto.
Amandla...
Kwa hiyo sasa mmeanza kutoa laana kwa Mbowe sio Kwa maccm tena?Mitanzani ni mijitu minafiki Sana ivi imagine baba wa Taifa angelazimisha kukaa madarakani mwaka 1985 halafu aje labda atolewe kwa nguvu na jeshi angekuwa na heshima yeyote katika nchi hii?
Lazima tujifunze kuwajibika kwenye Jambo lolote hakuna mtu special kwenye taasisi anayeweza kukaa miaka 20 taasisi inaanguka halafu bado anataka kukaa tu pale huu ni ujinga.
Hili sio hata swala la kujiuliza kwa masaa 48 ni swala la kusema tu kwamba Mimi sigombei over!
Mbowe mbowe mbowe nimekuita Mara tatu Kama utabishana ukweli utakuwa na mwisho mbaya Sana kwa laana za Watanzania wapenda mabadiliko!!
Watu account zetu zilishafungwa kwa sababu ya hiki chama
Tenda zetu tulishazuiwa kulipwa kwa sababu ya hiki chama
Watu wameteswa wengine hawana hatia Kama wakina Akwilina maisha yao yamekatishwa Leo hii chama hiki kiishie hewani tu aisee!!
Think twice leave!!
Acha kejeli mkuu. Mbowe ni mitano tenaAondeoke akama vipi baada ya miaka mitanao arejee tena kugombea uwenyekiti wake