Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Nimuonavyo Mbowe, alistahili kuwaiga viongozi wa vilabu vya mpira daraja la 3. Timu inapopanda daraja hujiondoa na kuwaachia makocha wenye uwezo. Nimesikiliza hotuba za mbowe, sioni jipya zaidi ya kusema tumeumizwa. Ukisema hivyo huna jipya na unatafuta huruma ili uungwe mkono. Kura za huruma na uvumilivu zitakifisha wapi chama?

Ni aibu kwamba pamoja na udhaifu huu, Mbowe anaungwa mkono kikabila. Wafuasi wanaweza kukataa lakini sisi tunapowaangalia kwenye mikutano, hali hiyo tunaiona meza kuu na hata MC kwenye mikutano. CHADEMA hakina tofauti na chama cha ushirika Moshi (siyo Kilimanjaro). Huwa ni vigumu sana kuwaondoa viongozi wa ushirika.

Tusubili maendeleo ya chama mwakani, ACT itakapokuwa chama kikuu cha upinzani.
 
Patriot, Mbowe anawauma sana. Na figisu zote za kuhama hama vyama ila lengo lao la kumuondoa mbowe na kuweka pandikizi lao vimeshindikana. Sasa vinena vimeanza kuvimba kwa hasira. Mbowe ni jemedari kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa kugombea tu dhidi ya Mbowe, mnamwita pandikizi! Iko wapi haki na demokrasia mnayoihubiri?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, kauli alizozitoa kwenye media zinaonyesha kuwa siyo mwenzao na CDM! Huwezi kusema kuwa ruzuku ni ya watu wachache, kundi dogo. Hiyo siyo kauli nzuri. Ana evidence gani kuwa zinaliwa? Ni maneno ya kipuuzi! Outright mimi nakuondoa kwenye kundi! yanini kusema kwenye mitandao ya kijamii kuwa utajenga jengo. hayo yaseme kwenye kampin. Unajua kuwa kuna amtu kaapa kuua upinzani, leo unatoa kauli zinazoweza kuleta mfarakano!
 
Hongera zao mashujaa wetu Freeman Mbowe na Tundu Lissu na hakika "wishes" za jamaa zetu wa Lumumba za kutupenyezea wasaliti wao zimeshindwa!

Hakika uwepo wa chama cha CHADEMA ni mpango wa Mungu na yeyote anayetamani kukiua chama hicho atapambana na hasira za Mungu wetu aliye Mkuu kuliko kitu chochote hapa duniani
asante mystery! Mimi naipenda chadema.
 
Nipo sana, naanda bandiko la pongezi.
P
Wewe hufai kabisa rafiki yangu. Msukuma Jiwe (ingawa per se Jiwe siyo msukuma) amekugeuza. Hauko objective... you are reasoning issue on partisan lines/tribal lines, very skewed reasoning!
 
Back
Top Bottom