kwakuwa mmeona hakuna mwenye akili zaidi yake nyinyi wengine mapopma tuLimumba wame ganda. Kelele zao zote zimepita na mafuriko ya Dar. Sasa watafute kick nyingene. Mbowe ndie CHADEMA CHAIRMAN
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakuwa mmeona hakuna mwenye akili zaidi yake nyinyi wengine mapopma tuLimumba wame ganda. Kelele zao zote zimepita na mafuriko ya Dar. Sasa watafute kick nyingene. Mbowe ndie CHADEMA CHAIRMAN
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameganda kama seruji kule Antarctic! Mbowe kawamaliza!Limumba wame ganda. Kelele zao zote zimepita na mafuriko ya Dar. Sasa watafute kick nyingene. Mbowe ndie CHADEMA CHAIRMAN
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajiandae kunyongwa, wanamtangazaje mpinzani?! Tena CHADEMA?!
Lissu kachaguliwaje wakati yupo ubelgiji.CCM watabisha hata hili, maana wao kuchaguana hawajui wamezoea KUTEULIWA.
Sahau, Mwambe hawezi kufukuzwa CCM akaja kuwa Mwenyekiti CHADEMA,NEVER ON EARTH!Mimi nilimtaka Mwambe ila basi tu. Sasa aanze na agenda ya kujenga ofisi yenye hadhi.
Hahaha option hiyo ndiyo imeshinda, halafu Cecil Mwambe kakimbia, sijui atakata rufaa?! Wewe unamshaurije? Au aite press alalamike?
Skype technology!
Hahaha nguvu ya umma hiyo
Hahaha kule hakuna uchaguzi, lazima apite bila kupingwa.At least CCM kuna awamu 2 za 5 years each..
Watashtuka maana ya domokrashia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kujifunza kuchagua mwenyekiti wa milele. Sisi tunataka kuona demokrasia ya watu kupokezana uongozi.Uchaguzi wa ccm hata huwa haufanyiki na hata ukifanyika kabla ya mgombea tu kuanza kujitangaza wananza kumjaza mashtaka ya uhunum uchumi, jifunzeni kwa baba lao chadema sio cuf wala ccm
Kivipi alijiteka? ifike mahali watu wawe na hofu ya Mungu, yani utu wote umepotea duuuuh, yajayo yanashangazaaa.makamu ataongoza kwa kupitia tv akirudi tu ndani anakesi ya kujiteka
Hahaha kule hakuna uchaguzi, lazima apite bila kupingwa.
Hahaha option hiyo ndiyo imeshinda, halafu Cecil Mwambe kakimbia, sijui atakata rufaa?! Wewe unamshaurije? Au aite press alalamike?
Ungemwandikia kisukuma angeelewa zaidiPascal Mayalla usijifanye hujaona hii njoo huku uhesabike
Hahaha yeye ndiye aliyempigia kura zote hizo?!Mwenye chama alisema achaguliwe Lissu, Nan wakupinga kauli ya mmiliki wa chama???
Safi sana lakini angalia ccm wasikujue maana utafukuzwa chamani.Am ok with Mbowe.... kwa faida ya CCM..
He is the most cool and wise politician[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ajue maana ya uchaguzi Sumaye?! Sasa kwanini alikimbia hata kabla ya uchaguzi, au ile aibu ya kushindwa ndiyo alikuwa akiikimbia?!