Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Hongera Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mungu akupe maisha marefu na nguvu kila kukicha✌🏻✌🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Hongera hasa Cecil Mwambe na. Mwakagenda kwa uthubutu wenu. Hao wengine walitabirike wangeshinda ilikuwa ni ujasiri wa hali ya juu kukabiliana nao
 
Mbowe na lissu walishashinda zamani kabla hata ya uchaguzi
 
na hii imeonyesha ukomavu mkubwa wa demokrasia ndani ya CHADEMA ukilinganisha na CCM, hebu mtu yoyote achukue fomu ndani ya ccm agombee uenyekiti na aliyepo sasa, moto atakaowashiwa na kuandamwa huenda hata kesi za kughushi akapewa kama sio kuambiwa anatumiwa na mabeberu.
 
Hongera zao mashujaa wetu Freeman Mbowe na Tundu Lissu na hakika "wishes" za jamaa zetu wa Lumumba za kutupenyezea wasaliti wao zimeshindwa!
This is silly (sorry to use such a word).
Hongera zao mashujaa wetu Freeman Mbowe na Tundu Lissu na hakika "wishes" za jamaa zetu wa Lumumba za kutupenyezea wasaliti wao zimeshindwa!

Mtu akigombea nafasi dhidi ya kiongozi mwenzake ni usaliti? Where is the democracy in your party? Ujinga ni kuendelea kuwa na mwanachama mnayeamini alipandikizwa na chama kingine.
This is pathetic.
 
Ndio hivyo Mbowe amepita. Nawapongeza kwa juhudi kubwa za kumkwamisha. Mmeshindwa. Mkaribisheni mshindani wake anaweza kuwafaa!
Nadhani hilo limepita sasa fanyeni kazi za kilimo tuinue kilimo chetu! nami naenda shamba.
 
Huu ushindi wa Mbowe na Lissu ni Ushindi wa Tanzania na watanzania.

Mungu bariki watu wako.
Huu ni ukweli usiopingika; wakatae; wakubali; Tulianza na Mungu, Tutaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu; Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki CHADEMA.
 
Back
Top Bottom