Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Hili limedhihirisha kweli Mh Freeman Aikaeli Mbowe anastahili ile PhD ya ubingwa wa siasa iliyo tamkwa bungeni nashauri atunukiwe kwani kadhihirisha kuna kiongozi mkubwa mwenye uwezo mkubwa mwenye majeshi na amri aliapa atahakikisha CHADEMA ina RIP kweli Mungu hadhihakiwi sijui wapambe nuksi wayakuja na lipi Dr Mbowe alipo omba maridhiano hawakumuelewa sasa aibu yao Maendeleo hayana chama Mungu ibariki Tz
January 2020 bado siku 11 tu, sijui Magufuli atasemaje kubusu Upinzani, katumia pesa za wananchi kuwanunua akashindwa, katumia ile mbinu nyingine ya kumtanguliza mtu mbele ya haki akidhani wote wataogopa akafeli
 
Hawa viongozi wanaenda kubomoa chadema na chadema inaenda kuwafia mikononi mwao mark my words
Unadhani Jiwe ataiponya ccm. Unafikiri huku wanakomsujudia vinatoka rohoni, take my words! People are not contented!
 
January 2020 bado siku 11 tu, sijui Magufuli atasemaje kubusu Upinzani, katumia pesa za wananchi kuwanunua akashindwa, katumia ile mbinu nyingine ya kumtanguliza mtu mbele ya haki akidhani wote wataogopa akafeli
Jipeni moyo na migwanda yenu CCM hao wanapasha tu,ruzuku italipwa na watakula hao wanahubiri utajiri ushindi CCM kwa kishindo tupo hapa.
 
Mkuu hiyo siyo roho mbaya bali ni hali halisi. Mpaka sasa hivi Chadema hawana viongozi wengi ngazi ya vijiji, kata wala vitongoji sasa unategemea nini 2020? Madiwa pia kwenye ngome zenu kama Arusha, Kilimanjaro, Iringa na Mbeya tayari wameshawakimbia. Hapo unategemea Saccos isife kweli?
Kwa sasa kitu pekee ambacho CCM inaweza kushinda ni kushinda njaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu...ninashauri wajikite zaidi kwenye ile movement yao ya CHADEMA Ni msingi..na hongera sana kamanda Mbowe..ujitahidi sasa kwenye huu uongozi wako wa miaka mingine mitano ukiachie chama ofisi za kisasa za kitaifa mpaka wilaya..hapo utakuwa umeacha alama na ninashauri makao mkuu ya chama jengeni Dodoma na ukumbi Mkubwa wa mikutano...kila la kheri
Why Dodoma? Kuna ulazima gani makao makuu ya Chama kuwa huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipeni moyo na migwanda yenu ccm hao wanapasha tu,ruzuku italipwa na watakula hao wanahubiri utajiri ushindi ccm kwa kishindo tupo hapa.
Ccm mlikula EPA na ESCROW na DEEP GREEN, IMPORT SUPPORT, msidhani hatujui
 
Uchaguzi haukuwa huru na haki. Hata boksi la kura lenyewe lina mtundu matundu,
Ha haha! Sikuliona hilo mapema, ngoja tumpatie hoja hiyo Polepole aipeleke kwenye Kamati kuu yetu tuone jinsi ya kumshawishi Msajili alione hili. Yale matundu yanaweza kupenyezwa karatasi za wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtei ndiye mpiga kura wa kura zote 800+?kama mambo madogo hivi unashindwa kuchanganua tukifika kwenye mambo mtambuka kuhusu nchi utaweza kuchanganua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umetangaziwa matokeo hayo ukayakubali yote, hilo ni jambo zuri sana kwani huko mbeleni utapotangaziwa kuwa CCM imeshinda ni lazima ukubali matokeo uache kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki.
 
Back
Top Bottom