Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Sumaye anajilaumu kwanini hakushiriki uchaguzi huu, maana anahisi Mbowe hakuwa na ushindani mkubwa na labda yeye angeshiriki angeshinda.

Lakini ndio hivyo hajazoea kushindana alizoea KUTEULIWA na KUSHINDA BILA KUPINGWA.
 
Uchaguzi wa ccm hata huwa haufanyiki na hata ukifanyika kabla ya mgombea tu kuanza kujitangaza wananza kumjaza mashtaka ya uhunum uchumi, jifunzeni kwa baba lao chadema sio cuf wala ccm
Hawa jamaa zetu wana ukiritimba ndio maana wananchi wanaojielewa huwa wanakati mgumu Sana kuwaongoza wanaishia kuwatawala kimabavu
 
Hii sio breaking news. Ilitarajiwa lazima ashinde. Hakuna Cha kuishangilia hapo.

Haulazimishwi kushangilia ,wewe nuna tu na upasuke Mkuu ila Habari ndio hiyo kama ulivyo sikia.
 
Back
Top Bottom