Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Hongera kwao...

Sasa kinachofuta hapa ni kuanza mchakato wa ku mu 'IMPEACH' msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Masikini pasco mayala; rudisha hela za watu kampeni yako chafu imeshindwa
 
Hongera zao sana; jukumu lao kubwa ni kuijenga CHADEMA.
Kabisa mkuu ninashauri wajikite zaidi kwenye ile movement yao ya CHADEMA Ni msingi..na hongera sana kamanda Mbowe..ujitahidi sasa kwenye huu uongozi wako wa miaka mingine mitano ukiachie chama ofisi za kisasa za kitaifa mpaka wilaya..hapo utakuwa umeacha alama na ninashauri makao mkuu ya chama jengeni Dodoma na ukumbi Mkubwa wa mikutano...kila la kheri
 
Hii inaitwa Usiyemtaka Kaja.

Hahahaaaaa .......Mungu wa Israel ni Mugu wa Ajabu sana.
Hili limedhihirisha kweli Mh Freeman Aikaeli Mbowe anastahili ile PhD ya ubingwa wa siasa iliyo tamkwa bungeni nashauri atunukiwe kwani kadhihirisha kuna kiongozi mkubwa mwenye uwezo mkubwa mwenye majeshi na amri aliapa atahakikisha CHADEMA ina RIP kweli Mungu hadhihakiwi sijui wapambe nuksi wayakuja na lipi Dr Mbowe alipo omba maridhiano hawakumuelewa sasa aibu yao Maendeleo hayana chama Mungu ibariki Tz
 
Bado, ndio anakwenda kupigiwa kura, definitely he will survive the vote because the senate has Republicans majority!
Huyo jamaa anayesema Trump ameliwa, ametoa wapi habari ?, au ndio mambo ya kahawa hayo ?
 
Back
Top Bottom