Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Ccm mlikula EPA na ESCROW na DEEP GREEN, IMPORT SUPPORT, msidhani hatujui
Ushindi 99% kwa Magu live hapa mtakuja piga mayowe na hilo chama lenu SACCOSS.
Mtei yuko zake kule bush anaongeza kisurio tu,wataungana soon na mkwewe
 
Ushindi 99% kwa Magu live hapa mtakuja piga mayowe na hilo chama lenu SACCOSS.
Mtei yuko zake kule bush anaongeza kisurio tu,wataungana soon na mkwewe
Watanganyika wajinga sana. yaani baada ya kukupa ushaidi ni namna gani ccm wameifilisi nchi kwa ufisadi bado unaamini watashinda 99%
 
Watanganyika wajinga sana. yaani baada ya kukupa ushaidi ni namna gani ccm wameifilisi nchi kwa ufisadi bado unaamini watashinda 99%
Kaa utulie hapo hapo mliwe kichwa 2020 kiongozi wako wa mageuzi hapo anapigania ruzuku tu
 
Itoshe tu kukupongeza mh Cecil Mwambe kwa uthubutu wako wa kupambana na mwenye chama na hatimaye kujizolea 6.5% ya kura zote.

Mwenzio aliyeshindana na Tundu Lisu aliye nje ya nchi kapata 1% ya kura zote na yule mzanzibari amekataliwa kwa 7% ya kura za hapana.

Hongera sana!

Maendeleo hayana vyama!
 
Cecelia Mwambe na Lumumba/Cameroon Wasio na Sauti wamedondokea PUA....Hahahaha NYE NYE NYE.
 
Amejitahidi Sana ,sikutarajia hata kama atamfikia CHIFU LUTAYOSA YEMBA yaani 0.4% ya kura zake.
 
Tundu Lissu na mwakagenda huwezi linganisha! Lisu na Mbowe, Lisu angelishinda, unajua hilo?
 
Binafsi nampongeza Mh Mbowe kupata ushindi huo lakini niwape tahadhari wana CHADEMA kumuita Dr Cecil Mwambe kuwa ni pandikizi au Msaliti huo sio uungwana, MWAMBE ni mwanachadema kama ninyi ,uchaguzi umefanyika vizuri na ikiwa kamati ya uchaguzi ilimpitisha ina maana wanachadema walimuamin kumpatia dhamana....hivyo kuheshimu watu wengine ni mhimu ...utahira ni kuondelea kukushikilia huyo munaemwamini ni msaliti au pandikizi ilihali mwenyekiti Mbowe anamuona Mwambe n mwanachama mtiifu....Mbowe hongera na ukawe mbunifu zaidi katika kuendesha chama kiwe cha kisasa zaidi ....
 
Mystery,

Mystery acha uswahili

Mbowe angeshindana na lissu, lema au sugu sawa

Mwambe hakuwa na upinzani na aliwekwa kama.boya


Tume ya uchaguzi ndani ya CDM ni nani na nani?
 
Mbowe anajitekenya mwenyewe, yaani mkimbizi asiyetarajia kurudi nchini anashinda kwa kishindo alafu sumaye mgombea pekee anashindwa uchaguzi hahhahaaaaaaa chama kina wenyewe.
 
H
Bado, ndio anakwenda kupigiwa kura, definitely he will survive the vote because the senate has Republicans majority!
Hawataweza! Ingekuwa Africa asingetoka mtu , angeriwa kichwa kweli, ila kwawenzetu wanaangaria masrahi yachama.
 
Back
Top Bottom