Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Sawa, natoa hongera zangu kwa wote walio shinda na walioshindwa.

Matokeo ya ushindi 90% ++,

Basi wanachadema Magufuli akija kushinda kwa 90% msije leta maneno au kebehi.

Ushindi wa 90%+ ni jade africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mtu mwingine tofauti na mbowe hawezi kuwa m/kiti naye akawa mlezi? Miaka 15 inatosha sana kung'atuka. Hizi siasa za bongo iwe chadema, au sisihem, nk wote wanafanya ujasiliamali aka ujasiliasiasa ili kujipatia kipato na hakuna mwenye uchungu na mdanganyika. Ndiyo maana siasa hapa kwetu kila kukicha zinapoteza mvuto. Watu makini wengi wanajiweka pembeni ili hao wajasiliasiasa wapambane kivyao.
 
Sawa, natoa hongera zangu kwa wote walio shinda na walioshindwa.

Matokeo ya ushindi 90% ++,

Basi wanachadema Magufuli akija kushinda kwa 90% msije leta maneno au kebehi.

Ushindi wa 90%+ ni jade africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na uliyoyasema hapa ndugu. Kwa maneno mengine unasema kuwa hakuna uchaguzi hapa kwetu tz na maeneo mengi ya Africa. Kinachofanyika ni formalities ili kudanganyana ionekane kuna democracy kuharalisha nafasi zao na kupunguza lawama. Kwa mtu makini hayo yote yanayofanyika ni ujinga na inabidi kuyapuuza kwa kuwa uwezo wa kuyabadilisha hakuna kwa sasa.
 
Kaongoza chama kwa muda wa miaka 15 na bado haitoshi! Duh. Haya sasa tusubiri maridhiano.
 

Uchaguzi uliisha midnight, yaani Chadema walikuwa wanahesabu kura 1000 hadi saa 10 Asubuhi?

Vile vile inatia shaka kwa kumchagua Tundu Lisu kwa sababu TL aliukana uraia wa Tanzania alipopata hati ya Ukimbizi kule Belgium hivyo hawezi kukanyaga Tanzania kwa sababu yeye sio raia tena. Sheria za ukimbizi duniani zinasema kwamba ukiukana uraia wa kule ambako usalama wako upo hatarini hutakiwi kusafiri kwenye nchi uliyokimbia, ukifanya hivyo umejivua Ukimbizi. (Sheria za ukimbizi un-surrender passport na unapata passport nyingine ya nchi uliyokimbilia).

TL anaogopa akirudi tu utapoteza ukimbizi, la pili uhamiaji watamuuliza maswali (magumu mengi) kwa sababu atakuwa anasafiri na hati ambayo sio ya Tanzania hivyo utabanwa. Hilo halina mashaka kwa sababu walitumia mbinu ya kwenda Nairobi.

Nafahamu Kenya na Tanzania wana uhusiano mzuri ambapo wanaweza kabisa kupata taarifa jinsi TL alivyoingia Kenya alitumia hati gani? Hizi geresha za usalama wake ni hadithi za Abunuwasi tu. Muda utaongea tupo gado hapa kufahamu zipi ni mbivu.
 
Hongera zao sana; jukumu lao kubwa ni kuijenga CHADEMA.

Chadema ilikufa rasmi alipoondoka Dr. Slaa, ambaye alitangaza ile list of shame na baadaye wakalichukua fisadi kuu kwa tamaa ya vijicent.
 
Mungu ni wa wote, mbona unatubagua mbele ya muumba.

Waisraeli ama wayahudi hawautambui ukristo wala uislamu. Lakini mazuzu wanajipendekeza kwao. Hao waliomsulubu Yesu wana laana

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu mimi siongelei waizrael au wayahudi bandia kama.akina Benjamin Netanyahu et al.

naongelea waisrael kama Juda, Elia, Isaya, Wzekiel, Yakobo, Lawi na Daudi et al
 
pointi yako ni nini hapa?
 
kwa hiyo wewe shida yako ni kubadilisha mtu?? we kweli mbumbumbu.
 
Kweli mkuu, ulisikia vile mmja wa wazee wa chadema alivyoambia jiwe, magufuli wewe magufuli ndie ulihusika na mpango mzima wa mhe tundu lissu, wewe ndio unafungulia viongozi wa chadema makesi huku kortini, mbowe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…