SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
Usiposhangilia wewe inatosha,kwa sisi katika kipindi hiki mambo yalivyokologeka wacha tushangilieHii sio breaking news. Ilitarajiwa lazima ashinde. Hakuna Cha kuishangilia hapo.
Usituchoshe mchana uliona kabisa akizungumza na wajumbe kwa video call,sasa hivi unarudi kuuliza tena.Chagua jibu lolote hapo utalolipenda litakuwa sahihiTundu Lisu aliombaje Kura? kwa Barua au Video Conference?
Haisaidii sasa ndiyo wameshinda hivyoMimi si shabiki wa ndioooo,
HayakuhusuTundu Lisu aliombaje Kura? kwa Barua au Video Conference?
Kuna mkurugenzi leo atapigwa chini kwa kutangaza ushindi wa wapinzani leo.Nani kayatangaza haya matokeo?! Magufuli ndiye anauliza sio mimi tafadhali.
Kazi kwa kwenda mbele. Polisi sijui walikuwa wapi hawajazuia mkusanyiko wa Chadema pale Mlimani.Kazi kazi
Hii sio breaking news. Ilitarajiwa lazima ashinde. Hakuna Cha kuishangilia hapo.
Uchaguzi wa CCM hata huwa haufanyiki na hata ukifanyika kabla ya mgombea tu kuanza kujitangaza wananza kumjaza mashtaka ya uhunum uchumi, jifunzeni kwa baba lao CHADEMA sio CUF wala CCMHongereni Sana chadema tz hakika uchaguzi umeenda vizuri na hiyo ndio demokrasia ya kweli
Hahaha Mimi sijibiwi hivyo in Magufuli's voiceHayakuhusu
Walikua busy kushusha benderaKazi kwa kwenda mbele. Polisi sijui walikuwa wapi hawajazuia mkusanyiko wa Chadema pale Mlimani.
CHADEMA akili kubwa, ni sawa na kuingia nyumba yenye mbwa mkali, unamtumpia mifupa na nyama kwa nje halafu wewe unafanya yako kwa amani.Walikua busy kushusha bendera
Alipewa vipi kwani unataka umpe nafasi nyingine?Na lisu nae kapewa nafasi ya kujinadi?
Hawa jamaa zetu wana ukiritimba ndio maana wananchi wanaojielewa huwa wanakati mgumu Sana kuwaongoza wanaishia kuwatawala kimabavuUchaguzi wa ccm hata huwa haufanyiki na hata ukifanyika kabla ya mgombea tu kuanza kujitangaza wananza kumjaza mashtaka ya uhunum uchumi, jifunzeni kwa baba lao chadema sio cuf wala ccm
Hii sio breaking news. Ilitarajiwa lazima ashinde. Hakuna Cha kuishangilia hapo.