mulishidwa kumuua sasa kile mumebaki nacho ni kuuliza maswali nyinyi wasiojulikanaTundu Lissu aliombaje Kura? kwa Barua au Video Conference?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mulishidwa kumuua sasa kile mumebaki nacho ni kuuliza maswali nyinyi wasiojulikanaTundu Lissu aliombaje Kura? kwa Barua au Video Conference?
Mungu ndiye muweza wa yote.....peoples...powerMatokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde.
Mbowe amepata ushindi wa asilimia 93.5 ya kura zote huku mpinzani wake Cecil Mwambe akiambulia kura 59.Tundu Antipass Lissu amezoa kura karibu zote kwa asilimia 98.8.
View attachment 1296876
Matokeo yote ya uchaguzi CHADEMA ni kama yanavyoonyesha chini.
MWENYEKITI WA TAIFA
1.Freeman Mbowe-886-93.5✔
2.Cecil David Mwambe- 59
3.HARIBIKA -3
MAKAMU MWENYEKITI BARA
1.Tundu Antipas Lissu-930-98.8%✔
2.Sophia H.Mwakagenda-11- 1..2%
HARIBIKA 9
MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBARI
SAID ISSA MOHAMED
NDIYO 859-88.7%✔
HAPANA 95
HARIBIKA 12
Zaidi, soma:
Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar
WanaJF duniani kote,Wasalaam! Ni asubuhi tulivu kabisa katika jiji la Dar es Salaam huku habari kubwa inayovuma ikiwa ni mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA chenye wanachama milioni 6 na nusu wenye kadi. Kama ripota wa JF nipo hapa Mlimani City nimekesha kwa lengo moja tu la...www.jamiiforums.com
pongezi za nini wakati maombi yako kwa MH. MBOWE hayakuwa tofauti na ya chama chenu cha fisiem.. endeleeni kuloga.Nipo sana, naanda bandiko la pongezi.
P

umeshasahau duwa yako uliyoomba kuwa wanachadema watafafanya makosa makubwa wakirudia kuchagua wazee.Nipo sana, naanda bandiko la pongezi.
P
Acha nidhamu ya woga mkuu, akili yake naijua kupitia threads zake, Pascall hana akili za kianalogy kama unavyodhani labda, sema tu kaamua kukaa kimya aka kuchunia na kumshtua ni muhimu maana napenda kujua mawazo yake pia kwenye hili.TARATIBU MKUU, muache pascal, bado anatafakari ataadika nini
Mbona ulikuwa unasema "Mwambe tuvushe" kama ulijua Mbowe kisha pita?Hii nayo ni Breaking News kweli? Watanzania walikuwa wanajua tu huyo Mwenyekiti wa Kudumu atapita. Wala hakuna cha ajabu mkuu!
Ila CCM haina adabu. Kuna tetesi kuwa mwana habari wa Azam TV anaitwa Jamal Hashimu eti siku ya kwanza tu alishawishiwa na CCM asirushe kinachoendelea kwenye ukumbi wa Mikutano wa mlimani City! Nasikia Ivona Kamtu jaribu kumshitua aruke hewani wapi! Jamal kagandwa na kada mmoja wa CCM. Hivi hizi habari ni za kweli? Uongozi wa Azam TV utuondolee hili wingu.Hongera kwao...
Sasa kinachofuta hapa ni kuanza mchakato wa ku mu 'IMPEACH' msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Ni kweli Moshi yote inafahamu ujemedari wa Mbowe! Sasa sisi makabila mengine munatuomba kura na uanachama wa CHADEMA wa nini?Patriot, Mbowe anawauma sana. Na figisu zote za kuhama hama vyama ila lengo lao la kumuondoa mbowe na kuweka pandikizi lao vimeshindikana. Sasa vinena vimeanza kuvimba kwa hasira. Mbowe ni jemedari kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni siasa tu, kama ulivyoona CHADEMA wakishabikia Membe agombee uraisKushindana washindane Chadema,ushindi wa Mbowe na Lissu uwaume CCM.huu ni uchawi
Hapana,, matamshi yake kabla ya kugombea yalileta hisia za kuwa huyu siyo mwenzetu! jana hata wakati wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo alishaondoka zamani ukumbini! huyo kweli ni wa CDM damuni?Yaani kwa kugombea tu dhidi ya Mbowe, mnamwita pandikizi! Iko wapi haki na demokrasia mnayoihubiri?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana ya democracy, chama siyo duka kumilikiwa na mtu mmoja.kwa hiyo wewe shida yako ni kubadilisha mtu?? we kweli mbumbumbu.
CCM watabisha hata hili, maana wao kuchaguana hawajui wamezoea KUTEULIWA.
Ndiyo maana ya democracy, chama siyo duka kumilikiwa na mtu mmoja.
Fanya kwa mda uwaachie na watu wengine waje na mawazo mbadala chama kisonge mbele. Mawazo yale yale, techniques zile zile zisizoshinda hata mara moja miaka nenda rudi maana yake jitihada za m/kiti hazitoshi lakini yeye ataki kuliona hilo amegangania tu, hizo siyo siasa bali ni masirahi ndiyo motive ya yeye kukomalia pale mpaka either afe, au chama chenyewe kife mikononi mwake.
Inawezekana kweli mimi mbumbumbu ila wewe waweza kuta ndio mbumbumbu zaidi yangu.
Hahaha demokrasia gani ccm ya kuteua na kuteuliwa badala ya kuchagua?!By the way, CHADEMA huwa wanapiga kelele sana kuwa nchi haina democrasia,
hivi can you compare CHADEMA with CCM on democracy? There is no democracy in CHADEMA! Chama kinaongozwa na mwenyekiti yule yule miaka nenda miaka rudi, wengine wakijaribu wanawekewa zengwe! Chama gani hicho!
Labda kama ni hivi unavyosema hapo nitaelewa kwa nini ni yeye muda wote. Vinginevyo sioni sababu ya yeye kuwa mwenyekiti wa kudumu.Tatizo ni kuwa CHADEMA ni mali ya watu fulani, sio umma. Hivi unafikiri akiondoka Mbowe kitabaki nini? Utakuwa ndiwo mwisho wa chama. CDM ni kama Pertinership business au unlimited company!