Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.

Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Hakwenda kuanzisha biashara Dubai. Mbowe nnayemfahamu mimi ana biashara Dubai kitambo(2008) nishawahi kufanya biashara na kampuni mojawapo yake
 
View attachment 1749358

Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari.

My Take
Natengua msamaha nilioutoa kwa Magufuli
Hutaki kusamehe tena??
 
Hakwenda kuanzisha biashara Dubai. Mbowe nnayemfahamu mimi ana biashara Dubai kitambo(2008) nishawahi kufanya biashara na kampuni mojawapo yake
Sikiliza maelezo yake mwenyewe anasema baada ya kufungiwa ndio akaamua kwenda Dubai kuanzisha biashara, hakusema kama alikua na biashara huko.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kilaza plus, wanasiasa wote hato hao mataga wanaweka hela zingine bank za njee

Yaani mataga magu aliwashika hadi ubongo
 
Account zimefungwa, ulitegemea akae tu amsubiri JPM?
Kweli wewe ni mnyonge. Ukidondosha hela, unalala njaa, kuzisubiri mpaka uzipate hizo hela ndiyo ukale?
Wamefunga account na siyo hela. Unaweza kufungua account lenye jina la mwanao na ukafanya miamala km kawaida.
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
 
Mbowe mbona haya unayasema sasa?

Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?
 
Back
Top Bottom