Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Kwa sababu hiyo ndiyo maana aliondoka nchini ili kupeleka pesa au kutafuta fursa za kuwekeza nchi nyingine.
 
Hapo ndipo tunapojidanganya. Jiwe alikuwa ni Mtanzania na waliotumika kama mkono wa jiwe kufanya hayo waliyofanya ni Watanzania wenzetu ambao tunakula na tunakunywa nao, tunashiriki nao katika kuzitazama Simba na Yanga na pia ni washiriki wenzetu Makanisani na Misikitini. Zaidi sana wamebaki kwenye system na akiibuka jiwe mwingine nao wataibuka pia.
watanzania hatuna ukatili wa kiwango hiki. uraia wa huyu mtu uchunguzwe
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Watu wameumizwa na Mwendazake Inawezakana wewe ni kijukuu cha Lucifer Kama uamini maneno ya Mbowe ndio maana amesema ushaidi wote wanao Mwamba uwa akurupuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe mbona account zako ziko open mzee , hizo zilizofungiwa ni zipi au ndio kuchafua tu uonekane mtu , haya maneno akirudi jamaa utaweza yaongea kweli.
 
Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?

watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
 
Back
Top Bottom