mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
Kweli, jiwe limevunjwa na Mungu.Kawaida ukimtendea MTU ubaya Mungu huwa ananjia zake za kuokoa. Mungu haruhusu ubaya wa mtu ukuangamize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli, jiwe limevunjwa na Mungu.Kawaida ukimtendea MTU ubaya Mungu huwa ananjia zake za kuokoa. Mungu haruhusu ubaya wa mtu ukuangamize
Wewe ni jinga lao kweliKama ulikwepa kodi miaka ya nyuma utaachajwe?
Huyu Jamaa alikuwa katili mno, alikuwa zaidi ya katali
Ukweli usisemwe?Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?
watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Kabisa, ukiona mtu anasikitika kwa kifo cha meko ujue naye ni kundi moja, huwezi kuwa na roho ya kishetani hivi ukafikiri Mungu atafurahia, vifo vingine vinatokana na matendo yetu.Katika hali kama hii unaachaje kufurahia mtu kafa?!
Wewe nani unayetaka envidence. Unataka kusema mwendazake hakuwa na roho mbaya?Lete evidence za kibank ili um prove wrong, otherwise ni dormant attacking unaleta hapa
Kabla Magu hajatawala ukoo wa Mbowe walikuwa na business Dubai. Hivyo baada ya kufungiwa alternative plan ni kwenda kusimamia kilichopoMbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Na alikuwa wapi muda wote huo kusema... Anasuburi mtu afe!Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Duuuu hatari sanaKatika hali kama hii unaachaje kufurahia mtu kafa?!
Mwambieni aweke ushahidi aacha kupiga domowatanzania hatuna ukatili wa kiwango hiki. uraia wa huyu mtu uchunguzwe
Kwa akili yako ulikuwa hujui kipindi cha Magu mahakama iliwekwa mfukoni kwa Magu. Kingine cha kufahamu usidhani kila mtu ni katili,kwahiyo usidhani huyu mama atakuwa katili kama mume wako Magu.Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..
Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..
Waendelee tu kuongea...........