Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Sasa naamini kuna kampeni chafu ya kumchafua JPM!
Kama ni toka 2018 alishindwa nini kuitumia ktk siasa za uchaguzi kama ilivyo kwa wanasiasa wetu kutafuta sympath!!
Yote mtaongea lakini la muhimu ni kuwa hatuanaye tena, ndio la kushukuru Mungu hilo, kwani zile zilikuwa tabia za kishetani!!ila MUNGU anatishaa
 
Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?

watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Ndiyo wapime uhalali wa maumivu yao ama washukuru pia?
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kwani waajiriwa ambao hawalipwi mishahara na waajiri wao hawali wala hawalali! Mbona wahindi na wachina wengi tu wanakuja nchini bila hata senti moja lakini wanaanzisha biashara!
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Huko duniani biashara ni wazo. Ukiwa na wazo zuri la biashara (proposal) unapata mikopo na hata sponsors. Umagufuli upo humu humu ukukuanani.
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Sada unamtisha nani na umagufuli wako?
 
Jamani naomba tarehe 17 March itangazwe kuwa siku ya Sherehe na kumshukuru Mungu kwa kutuondolea mtesi.

Pia mteule mpya afikirie kuwasamehe na kuwafidia wote walioumizwa na huyu Mtesi. Ikiwemo kuwasamehe Mashehe na wote walio mahabusu kwa kesi za kisiasa, Waliotumbuliwa majukwaani na wote waliofungiwa account zao za benki na waliobomolewa nyumba bila kulipwa fidia.
 
Halafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?

Tupate ushahidi wa ndugu zake na Magufuli ambao aliwapendelea na hawakua na sufa kwenye nafasi za kiutumishi.

Hii kampeni ya ukabila inapigiwa chapuo sana na makabila ya kaskazini. Wanajitahidi kutaka kufukia tabia yao ya ukabila nchi hii. Mfano, Kimei amejaza wachaga CRDB.
Ushahidi ni huu. Serikali yake ilijaa watu wa kanda ya ziwa.
 
Account zimefungwa, ulitegemea akae tu amsubiri JPM?
Kweli wewe ni mnyonge. Ukidondosha hela, unalala njaa, kuzisubiri mpaka uzipate hizo hela ndiyo ukale?
Wamefunga account na siyo hela. Unaweza kufungua account lenye jina la mwanao na ukafanya miamala km kawaida.
Account iliyofungwa inafanyaje miamala

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?

Je unajua ni biashara gani alikuwa anafanya? Kama hujui hilo fanya uchunguzi zaidi? Biashara inataka kitu wanaita ideas mitaji iko bank
 
Hakwenda kuanzisha biashara Dubai. Mbowe nnayemfahamu mimi ana biashara Dubai kitambo(2008) nishawahi kufanya biashara na kampuni mojawapo yake
Unajua yeye akiwa hana connection anaamini wote wapo hivyo hivyo ndio maana kutwa kuandika ujinga humu..
 
Back
Top Bottom