Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Halafu eti tulikaa wiki tatu tunashindwa kupiga nyimbo za Bongo fleva, kisa maombolezo ya mtu katili.

Mmenikata stim kwakweli. Ningekuwa nasikiliza sebene mwanzo mwisho kwa wiki tatu.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Mbowe anadhaminiwa ni mtu yoyote kupewa mkopo popote Africa mbowe sio kama mimi na wewe ambao hatujulikane hiyo hoja yako ni dhaifu tafuta hoja zito kumpinga acha ushabiki Jiwe hakua mtu mzuri.........mimi binafsi nilikua na wasanifu tu eti tunamboleza kifo chake nilimshukuru sana Mungu kumondoa.
 
Kinachofurahisha hata aliyepokonywa mwanamke wake na masela anamlaumu Magufuli, ina maana Magufuli alielekeza kila jambo linalofanyika nchini liwe zuri au baya, basi hakuwa na uwezo wa kawaida.
 
Alcohol alikuwa katili na mnyanyasaji mkubwa. Mungu ametenda jambo kwa Taifa lake.
 
Tulisema kuna mazuri na mabaya ya mpendwa wetu haya ni kati ya mabaya. Hivyo msijaribu kutetea kila kitu badala yake jifunzeni . Wape watu haki na tengeneza mifumo maana ukiondoka jatasemwa mazuri na mabaya
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Mbowe siyo kapuku kama wewe, kwa nguvu ya kiuchumi aliyonayo na kwa mikiki ya kisiasa anayopitia lazima awe na accounts nje ya nchi so bilashaka alitumia pesa alizowekeza nje na siyo dhambi.
 
Hii ya kumshambulia Hayati iishe, naona watu wangekaa kimya tu Sababu Mungu anajua zaidi kashafanya yake Watu mpate amani, sasa yanini lawama tena?
 
Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.
Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato
Yule mzee alikuwa gaidi kweli roho mbaya mpaka Basi duuh.

Yule sio mtanzania Ile roho sijui wapi[emoji15][emoji15][emoji849]
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Unadhani yeye ni fala hana accounts nchi za ughaibuni, wajanja huishi kwa tahadhari kwani sometimes mijibwa ndiyo inakuwa imekabidhiwa dola na kufanya kama haya yaliyofanyika.
 
Back
Top Bottom