Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Wewe ushawahi kulipa kodi
 
Mkuu kumbe na wewe hewa tu.
 
Magu alikuwa zaidi ya Dikteka na katili hatari zaidi duniani.
 
Huyo sio mlipa kodi, kama bilikana alidaiwa miaka nenda miaka rudi
Kwa hali hiyo ni mzoefu wa kukwepa kodi.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
akili zako ni pungufu wewe
 
Mbowe ni mmoja wa walioumizwa sana na nchi yake.

Kweli kila jambo lina mwisho wake.

Nasi tunarudisha SIFA NA UTUKUFU HUKO MBINGUNI.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Biashara huanzia kichwani sio kwenye pesa
 
Inasemekana Manji alishawahi mwambia "siongei na mbwa,naongea na mwenye mbwa" enzi za JMK
Kwahyo hik kikamfanya kuwachukia wafanyabiashara wote,maana kawavuruga hasa,wengi hawajasema tu yaliyowakuta
 
Mbowe ameongea lakini hakuongea kama kiongozi wa siasa anayejua wanachama wake wanataka nini, kufungiwa akaunti zake ni jambo binafsi kuliko kuwazungumzia covid 19 ambalo ni jambo la kichama na kitaifa.
Ameongea kama mfanyabiashara,
ni sahihi maana naye amekuwa muhanga wa sera za biashara za mwendazake.
Lakini pia kama kiongozi wa kitaifa, ameyasema hayo kama mfano wa namna wafanyabiashara walivyoumizwa kwenye kipindi hicho cha miaka 5.
 
Swali la Covid 19 hajaongelea ndio maana anatuhumiwa kuwa wale wana baraka zake,aliongea kama mwenyekiti wa chama na sio mfanyabiashara maana taarifa zote mwenyeki wa chama ataongea
 
Jiwe alitaka kila mtu awe amekufa lakini mwisho wa siku Mungu kamchukua yeye idiot kabisa mkuu wa malaika na wanyonge wa kitovuni
 
[emoji2772]tena lazima watanzania mngetembea na chupi mdomoni maana sio kichwani tena
Tumshukuru Mungu kweli kwa kumuondoa maana binadamu mmoja alijua kunyanyasa watu karibia million 60.
 
Jiwe alitaka kila mtu awe amekufa lakini mwisho wa siku Mungu kamchukua yeye idiot kabisa mkuu wa malaika na wanyonge wa kitovuni
Task force ingekuwa ni Nchi kama South Africa ama ulaya, America mda huu wote wangekuwa chini ya uchunguzi mali zao maana wengi wametajirika kupitia mgongo upepo wa marehemu magufuli
 
Baraza la mawaziri wasukuma kibao, tenda za ujenzi wa SGR aliwapa wasukuma kibao na ujenzi wa chato Airport ni wasukuma watupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…