Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,045
- 358
Wewe ushawahi kulipa kodiMbowe anatumia chama chake kutetea mambo yake binafsi ya kibiashara.
Endapo Serikali yetu itaendekeza Tabia mbaya kama aliyo ionyesha Mbowe, basi kila mfanya biashara ktk nchi hii atatumia ujanja wake ilimradi tu aonewe huruma asilipe kodi kwa kisingizio.....eti.....alionewa!!! hakika serikali itaambulia patupu!!! na ulaghai wa kulipa kodi utashamiri na mapato lazima yatapungua.
Ifahamike kuwa wafanya biashara walio wengi wana HULKA ya kukwepa kulipa kodi wengi wao wanataka faida kubwa zaidi kwa njia yoyote ile.