The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wataje wasukuma kwenye baraza la mawaziri tuhakikishe. Acha tu kujiropokea, weka majina na idadi yao.Baraza la mawaziri wasukuma kibao, tenda za ujenzi wa SGR aliwapa wasukuma kibao na ujenzi wa chato Airport ni wasukuma watupu
Wafanyabiashara wengi walifungiwa Account zao na maofisa wa TRA kwa kubambikiwa kodi za VAT bandia feki kwa njia haramu za kishetani ni vyema Rais Samia aitishe mkutano wa wale wafanyabiashara wakubwa wote waliofungiwa Account zao kwa kubambikiwa kodi kutishiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi wapate kuwataja list ya maofisa wote wa TRA waliokuwa vinara wa huo uonevu unyanyasaji kwa wafanyabiashara , wapinzani na watu wengine wa kawaidaMbowe anafungua mlango kwa wengine kufunguka maana waiozulumiwa na kufungiwa acount ni wengi. Hii dhuluma imaumiza wengi sana na jamaa alikua ni katili kuliko kawaida
Alijia na roho mbaya
Waturuki hawakuja na kokoto mchanga vifusi wanahitaji kampuni za kusuply na kampuni zote ni za wasukuma wenu, unawajua mawaziri wote acha usumbufu ingia kwenye mtandao utaona list kubwa ni wasukumaWataje wasukuma kwenye baraza la mawaziri tuhakikishe. Acha tu kujiropokea, weka majina na idadi yao.
SGR wamepewa wasukuma, sio Waturuki tena?
Chato Airport ni Wasukuma gani walijenga?
Watekelezaji ushetani wake akina Nyaulingo, Heri kisanduku cyprian Musiba akina Le mutuz wapo hai pamoja na boss wao Bashite waliyekwenda nae Dodoma kumpiga risasi Tundu lisuYote mtaongea lakini la muhimu ni kuwa hatuanaye tena, ndio la kushukuru Mungu hilo, kwani zile zilikuwa tabia za kishetani!!ila MUNGU anatishaa
Task force ndiyo wanapaswa wakamatwe wote mali zao zishikiliwe kwani wamewaumiza wengi sana na kutajirika kwa uonevu huoNjia nzuri ya kulipiza aliyoyafanya mwendazake ni kuwafungulia mashtaka waandamizi wake ambao hadi leo wapo madarakani.
Le mutuz yupo hoi Hosptal India alikula pesa za list ya wauza unga wee blackmail za kishetani za Bashite sasa mungu kumwadhibuHii ni zaidi ya kuvamiwa na kikundi cha Alshaab. Mungu amshughulikie vizuri huyu dikteta
Mkuu nnji hii kuna walipaji kodi (sisi wachaga) na walaji kodi (mataga gang!)Wewe ushawahi kulipa kodi
Wafanyabiashara wengi wakubwa akiwemo Mengi, subash patel, mfuruki na wenzao kibao walikufa kwa pressure baada ya kukuta Account zao zimefungwa na pesa zote zimechukuliwa kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku wakitishiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi kupelekwa jelaAmeongea kama mfanyabiashara,
ni sahihi maana naye amekuwa muhanga wa sera za biashara za mwendazake.
Lakini pia kama kiongozi wa kitaifa, ameyasema hayo kama mfano wa namna wafanyabiashara walivyoumizwa kwenye kipindi hicho cha miaka 5.
Mimi nasema ashambuliwe tuHii ya kumshambulia Hayati iishe, naona watu wangekaa kimya tu Sababu Mungu anajua zaidi kashafanya yake Watu mpate amani, sasa yanini lawama tena?
Pole na hongera Kiongozi Mbowe,umepitia tanuru zito,Mungu anakusudi nawe kukupa ujasiri huo usiunge juhudi.Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.
Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato
Pesa nyingi kala polepole na Bashiru kwenye mradi wa ununuzi wapinzani kuunga mkono juhudi na kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, ununuzi ulijaa 10% za hao wafujaji wa CCM ambao sasa ni wabunge viti maalum huko BungeniMkuu nnji hii kuna walipaji kodi (sisi wachaga) na walaji kodi (mataga gang!)
Kikundi cha wasiojulikana ambao baadhi walijulikana baadae akina Heri kisanduku, nyaulingo, Bashite, cyprian Musiba wana hali ngumu sana ingawa Bashite katengeneza kikundi cha propaganda mitandaoni cha kumchafua kikwete kwa nguvu kubwa ili kuwasahulisha watanzania juu ya uonevu wao pindi wakiwa madarakaniHayati alikua mchafu, hakuna sabuni inaweza msafisha.
Huna akili kwa hiyo Mbowe hana akiba nje ya nchi au hana rafiki wa kumkopesha nk?Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Tzn uongozi ni Rais na mambo yataenda kwa hulka na utashi wa Rais lazima tufurahieKama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..
Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..
Waendelee tu kuongea...........
Ulitaka aseme lini kwani angesema kipindi kile chombo gani cha habari kingerusha hizi taarifa,usiwe fala mkuuMbowe mbona haya unayasema sasa?
Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?