Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Baraza la mawaziri wasukuma kibao, tenda za ujenzi wa SGR aliwapa wasukuma kibao na ujenzi wa chato Airport ni wasukuma watupu
Wataje wasukuma kwenye baraza la mawaziri tuhakikishe. Acha tu kujiropokea, weka majina na idadi yao.

SGR wamepewa wasukuma, sio Waturuki tena?

Chato Airport ni Wasukuma gani walijenga?
 
Mbowe anafungua mlango kwa wengine kufunguka maana waiozulumiwa na kufungiwa acount ni wengi. Hii dhuluma imaumiza wengi sana na jamaa alikua ni katili kuliko kawaida


Alijia na roho mbaya
Wafanyabiashara wengi walifungiwa Account zao na maofisa wa TRA kwa kubambikiwa kodi za VAT bandia feki kwa njia haramu za kishetani ni vyema Rais Samia aitishe mkutano wa wale wafanyabiashara wakubwa wote waliofungiwa Account zao kwa kubambikiwa kodi kutishiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi wapate kuwataja list ya maofisa wote wa TRA waliokuwa vinara wa huo uonevu unyanyasaji kwa wafanyabiashara , wapinzani na watu wengine wa kawaida
 
Wataje wasukuma kwenye baraza la mawaziri tuhakikishe. Acha tu kujiropokea, weka majina na idadi yao.

SGR wamepewa wasukuma, sio Waturuki tena?

Chato Airport ni Wasukuma gani walijenga?
Waturuki hawakuja na kokoto mchanga vifusi wanahitaji kampuni za kusuply na kampuni zote ni za wasukuma wenu, unawajua mawaziri wote acha usumbufu ingia kwenye mtandao utaona list kubwa ni wasukuma
 
Yote mtaongea lakini la muhimu ni kuwa hatuanaye tena, ndio la kushukuru Mungu hilo, kwani zile zilikuwa tabia za kishetani!!ila MUNGU anatishaa
Watekelezaji ushetani wake akina Nyaulingo, Heri kisanduku cyprian Musiba akina Le mutuz wapo hai pamoja na boss wao Bashite waliyekwenda nae Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu
 
Njia nzuri ya kulipiza aliyoyafanya mwendazake ni kuwafungulia mashtaka waandamizi wake ambao hadi leo wapo madarakani.
Task force ndiyo wanapaswa wakamatwe wote mali zao zishikiliwe kwani wamewaumiza wengi sana na kutajirika kwa uonevu huo
 
Hii ni zaidi ya kuvamiwa na kikundi cha Alshaab. Mungu amshughulikie vizuri huyu dikteta
Le mutuz yupo hoi Hosptal India alikula pesa za list ya wauza unga wee blackmail za kishetani za Bashite sasa mungu kumwadhibu
 
Ameongea kama mfanyabiashara,
ni sahihi maana naye amekuwa muhanga wa sera za biashara za mwendazake.
Lakini pia kama kiongozi wa kitaifa, ameyasema hayo kama mfano wa namna wafanyabiashara walivyoumizwa kwenye kipindi hicho cha miaka 5.
Wafanyabiashara wengi wakubwa akiwemo Mengi, subash patel, mfuruki na wenzao kibao walikufa kwa pressure baada ya kukuta Account zao zimefungwa na pesa zote zimechukuliwa kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku wakitishiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi kupelekwa jela
 
Huoni uzwazwa. Kwani wakulima wa Zimbabwe waliofilisiwa na comrade mugabe baadae wakaitwa na Zambia, Nigeria na Australia ili wawekeze huko, mitaji walipata wapi? Watu vichwa wanatafutwa!
 
Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.

Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato
Pole na hongera Kiongozi Mbowe,umepitia tanuru zito,Mungu anakusudi nawe kukupa ujasiri huo usiunge juhudi.
 
Mkuu nnji hii kuna walipaji kodi (sisi wachaga) na walaji kodi (mataga gang!)
Pesa nyingi kala polepole na Bashiru kwenye mradi wa ununuzi wapinzani kuunga mkono juhudi na kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, ununuzi ulijaa 10% za hao wafujaji wa CCM ambao sasa ni wabunge viti maalum huko Bungeni
 
Kuna vikundi vingi vimetajirika sana kupitia udikiteta wa marehemu magufuli na wengi ni Task force, baadhi ya maofisa wa TRA waliokuwa vinara wa kufunga Account za wafanyabiashara, baadhi ya maofisa wa taasisi zingine za kiuchunguzi wa jinai, wakichunguzwa mali zao, hakika magereza yatajaa wahalifu waliotekeleza unyama uonevu unyanyasaji wa magufuli kwa wapinzani, wafanyabiashara na hata kwa watu wengine wa kawaida wakiwemo watumishi wa umma kunyimwa nyongeza za mishahara kwa miaka mitano huku pesa zote zikienda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, mbuga wanyama wote wametoweka na sasa chato hakuna utalii panaenda kuwa kama kile kiwanja cha Ndege cha marehemu mabutu wa zaire ambacho sasa ni mazalia ya nyani na wadudu wa kila aina
 
Hayati alikua mchafu, hakuna sabuni inaweza msafisha.
Kikundi cha wasiojulikana ambao baadhi walijulikana baadae akina Heri kisanduku, nyaulingo, Bashite, cyprian Musiba wana hali ngumu sana ingawa Bashite katengeneza kikundi cha propaganda mitandaoni cha kumchafua kikwete kwa nguvu kubwa ili kuwasahulisha watanzania juu ya uonevu wao pindi wakiwa madarakani
 
Lakini waliopokea hizo amri feki za Jiwe wapo hakuna uwezekano wa kuwajibishwa?

Lile jamaa na ndugayi walimvua hadi Lisu ubunge wakazuia matibabu yaani sijui ni binadamu wa aina gani alikuwa
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Huna akili kwa hiyo Mbowe hana akiba nje ya nchi au hana rafiki wa kumkopesha nk?

Mbowe sio wewe kwamba unauza duka la jumla basi unajua ndio biashara
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Tzn uongozi ni Rais na mambo yataenda kwa hulka na utashi wa Rais lazima tufurahie
 
Mbowe mbona haya unayasema sasa?

Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?
Ulitaka aseme lini kwani angesema kipindi kile chombo gani cha habari kingerusha hizi taarifa,usiwe fala mkuu
 
Back
Top Bottom