The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wewe ni mke wa mbowe kwamba unajua ana hela nje ya nchi? Ama ni kimada wake?Huna akili kwa hiyo Mbowe hana akiba nje ya nchi au hana rafiki wa kumkopesha nk?
Mbowe sio wewe kwamba unauza duka la jumla basi unajua ndio biashara
Unadhani wafanyabiashara wakubwa wanaishi KIFALA fala kama sisi eeh; kwa taarifa yako, karibu wote hao wanazo account nje ya nchi; hujiulizi why aliendelea kuishi na kujaza mafuta magari yake? Inakuingia akili aweze kuwazushia TRA while wapo hawajafa? Unaweza kuizushia uongo taasisi kama TRA!? Anyway, labda irudie kuisikiliza hotuba ya mama kuhusu ubambikiwaji wa kodi wafanyabiashara na wafanyabiashara kuhamisha mitaji yao kwenda nje ya nchi ndio utajua kama Mbowe ni muongo au laMbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kama Wewe ni kimada wa mwendazake sasa hivi Wewe ni mjane?!Wewe ni mke wa mbowe kwamba unajua ana hela nje ya nchi? Ama ni kimada wake?
Hayo ameyasema sana ila watu walipuuzia, hata wakati wa Kampeni alisema sana kuwa wamefilisiwa sana, Sasa hivi watu wamekuwa attention baada ya Magu kufaHiii toka 2018 hizo akaunti kwasasa sizitakuwa zimejaa mahelaaaa
Wauza madawa ya kulevya na mafisadi ndiyo waliokuwa hawampendi kwa sababu ya kuwashughulikia lakini watz waliowengi bado wanampenda na watamuenzi milele na milele.Msamaha niliotangaza kwa mwendazake nimeutengua rasmi
Jaman jiwe alikua katili sana, achunguzwe uraia wake pengne akuwa na asili ya Tanzania yule
Pengine kifo chake ni Mungu kamua kumtoa roho ili taifa letu lipone
Naipenda sana nchi yangu Tanzania
Mkuu comment yako inakutofautisha na Mbowe, na ulimwengu wa biashara, kwa ujumla! Wenye akili za biashara wanaweza kufanya biashara popote! Afu Mbowe siyo wa level hiyo ya ucheki bobu, ni Mtu mzima na amefanya biashara maisha yake yote.Ndo matatizo ya misheni tauni. Biashara siyo kuwa cheki bobu na mkwepa taratibu.
Mbowe siyo wa kwanza! Hapa Moshi mbona mzee Ndessa hakuwahi kufanyiwa hivyo? akina Mtei mbona hakuna hilo?
Eti kuwekeza Dubai, ukauze nini? Labda makasha ya simu za mkononi.
Miaka ya mwanzoni mwa themanini baada ya nchi kutoka kwenye vita na Uganda, uchumi ulikuwa mbovu sana,Kumbe na sokoine alikuwa na sera hizi mkuu?
Kwani tutampata wapi.sasa mkuu.watanzania hatuna ukatili wa kiwango hiki. uraia wa huyu mtu uchunguzwe
Mungu ataadhibu tu kwani Le mutuz aliyekwenda Dodoma na Bashite kumshambulia Tundu lisu sasa yupo hoi India, huku nyaulingo alishuka na Bunduki kumpiga risasi yupo hoi ni kiwete baada ya kupata ajali mbaya Bagamoyo akapoteza miguu yote, Bashite na yeye yupo benchi huku akitarajia changamoto zaidi na zaidi mbeleni malipo ni hapa hapa DunianiLakini waliopokea hizo amri feki za Jiwe wapo hakuna uwezekano wa kuwajibishwa?
Lile jamaa na ndugayi walimvua hadi Lisu ubunge wakazuia matibabu yaani sijui ni binadamu wa aina gani alikuwa
Watanzania wa wapi unawasemea? Mzunguko wa pesa ulipotea, watumishi wa umma miaka mitano bila nyongeza za mishahara, wafanyabiashara kutwa kubambikiwa kodi wanafungiwa account zao, wewe utakuwa ni mnufaika wa udikiteta wa marehemu magufuliWauza madawa ya kulevya na mafisadi ndiyo waliokuwa hawampendi kwa sababu ya kuwashughulikia lakini watz waliowengi bado wanampenda na watamuenzi milele na milele.
Nina wasi wasi na elimu yako. Ngoja nikupe mfano mdogo.
Kulikuwa na watumishi waliokuwa wanatumia vyeti feki, na walifukuzwa kazi. Hao watumishi waliofukuzwa kazi umeshawahi kuwasikia wamekufa njaa?
Account za Mbowe zimefungwa. Unafikiri Mbowe anategemea hizo pesa za kwenye account aweze kuishi? Mbali ya kuwa mwanasiasa ni mfanyabiashara, kwahiyo anafungua account nyingine hata kwa jina la mwanae, anaendelea kufanya biashara.
Unaonesha hata maji ya bombani yakikatika mwaka mzima. Huwezi kuoga mpaka uyasubirie yaje
[/QUOTEfFunguka mkuuNashukuru Mungu sasa nipo free kutokana na Mambo ya Siasa walichonitenda kina Mdee,EL n.k inatosha...Am doing my own business nw!!