Nina wasi wasi na elimu yako. Ngoja nikupe mfano mdogo.
Kulikuwa na watumishi waliokuwa wanatumia vyeti feki, na walifukuzwa kazi. Hao watumishi waliofukuzwa kazi umeshawahi kuwasikia wamekufa njaa?
Account za Mbowe zimefungwa. Unafikiri Mbowe anategemea hizo pesa za kwenye account aweze kuishi? Mbali ya kuwa mwanasiasa ni mfanyabiashara, kwahiyo anafungua account nyingine hata kwa jina la mwanae, anaendelea kufanya biashara.
Unaonesha hata maji ya bombani yakikatika mwaka mzima. Huwezi kuoga mpaka uyasubirie yaje
[/QUOTEf
Nashukuru Mungu sasa nipo free kutokana na Mambo ya Siasa walichonitenda kina Mdee,EL n.k inatosha...Am doing my own business nw!!
Funguka mkuu