Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Huna akili kwa hiyo Mbowe hana akiba nje ya nchi au hana rafiki wa kumkopesha nk?

Mbowe sio wewe kwamba unauza duka la jumla basi unajua ndio biashara
Wewe ni mke wa mbowe kwamba unajua ana hela nje ya nchi? Ama ni kimada wake?
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Unadhani wafanyabiashara wakubwa wanaishi KIFALA fala kama sisi eeh; kwa taarifa yako, karibu wote hao wanazo account nje ya nchi; hujiulizi why aliendelea kuishi na kujaza mafuta magari yake? Inakuingia akili aweze kuwazushia TRA while wapo hawajafa? Unaweza kuizushia uongo taasisi kama TRA!? Anyway, labda irudie kuisikiliza hotuba ya mama kuhusu ubambikiwaji wa kodi wafanyabiashara na wafanyabiashara kuhamisha mitaji yao kwenda nje ya nchi ndio utajua kama Mbowe ni muongo au la
 
hivi mtu akikufa anakwenda wapi?...yaani ule uhai......????..hivi ile hoja ya kilimo ya bange kule ilishapitishwa au??..msimu wa kilimo huu...
 
Ndo matatizo ya misheni tauni. Biashara siyo kuwa cheki bobu na mkwepa taratibu.
Mbowe siyo wa kwanza! Hapa Moshi mbona mzee Ndessa hakuwahi kufanyiwa hivyo? akina Mtei mbona hakuna hilo?

Eti kuwekeza Dubai, ukauze nini? Labda makasha ya simu za mkononi.
 
Mwambie pesa alizochukua kwenye Benki ya Wanawake mpaka ikafirisika arudishe. Pia mwambie Kazi Inaendelea hivyo aendelee kulipa kodi kwa faida ya watz. Kukwepa kodi ni mwiko.

IMG-20210412-WA0020.jpg
 
Msamaha niliotangaza kwa mwendazake nimeutengua rasmi

Jaman jiwe alikua katili sana, achunguzwe uraia wake pengne akuwa na asili ya Tanzania yule

Pengine kifo chake ni Mungu kamua kumtoa roho ili taifa letu lipone

Naipenda sana nchi yangu Tanzania
 
Hiii toka 2018 hizo akaunti kwasasa sizitakuwa zimejaa mahelaaaa
Hayo ameyasema sana ila watu walipuuzia, hata wakati wa Kampeni alisema sana kuwa wamefilisiwa sana, Sasa hivi watu wamekuwa attention baada ya Magu kufa
 
Msamaha niliotangaza kwa mwendazake nimeutengua rasmi

Jaman jiwe alikua katili sana, achunguzwe uraia wake pengne akuwa na asili ya Tanzania yule

Pengine kifo chake ni Mungu kamua kumtoa roho ili taifa letu lipone

Naipenda sana nchi yangu Tanzania
Wauza madawa ya kulevya na mafisadi ndiyo waliokuwa hawampendi kwa sababu ya kuwashughulikia lakini watz waliowengi bado wanampenda na watamuenzi milele na milele.
 
Ndo matatizo ya misheni tauni. Biashara siyo kuwa cheki bobu na mkwepa taratibu.
Mbowe siyo wa kwanza! Hapa Moshi mbona mzee Ndessa hakuwahi kufanyiwa hivyo? akina Mtei mbona hakuna hilo?

Eti kuwekeza Dubai, ukauze nini? Labda makasha ya simu za mkononi.
Mkuu comment yako inakutofautisha na Mbowe, na ulimwengu wa biashara, kwa ujumla! Wenye akili za biashara wanaweza kufanya biashara popote! Afu Mbowe siyo wa level hiyo ya ucheki bobu, ni Mtu mzima na amefanya biashara maisha yake yote.
 
Kuna watu waliishi kwenye Tanzania ya Jiwe kama kuzimu.Ndio ule usemi wa mwenye kwenda,'' Matajiri waishi kama Mashetani?!''
 
Asante Freeman Aikaeli Mbowe kwa kuthubutu kusema uozo wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya CCM. Aibu kabisa ndugu zangu. Tutamani wakati wote kuzalisha jamii ya Ki-Tanzania yenye uzalendo wa kweli, HAKI, Amani ya kweli, bila unafiki, upendo wa kweli, kuheshimu haki za watu wote, yenye kupokea maoni na michango tupate maendeleo ya haraka kwa watu wake katika ngazi zote.
 
Kumbe na sokoine alikuwa na sera hizi mkuu?
Miaka ya mwanzoni mwa themanini baada ya nchi kutoka kwenye vita na Uganda, uchumi ulikuwa mbovu sana,
Suluhisho la Sokoine akaona wafanyabiashara ni mashetani kama Jiwe alivyoona
Akaanzisha sheria ya uhujumu uchumi, watu walikamatwa sana na kufungwa kila sehemu
Nakumbuka ndugu na jamaa wa karibu walifungwa, Nyerere hakupenda kabisa, lakini sijui kilichompata Sokoine haikuchukua muda tulizimka baada ya ajali ya kutatanisha.
Angalia hii clip Nyerere baadae miaka ya mbele alivyowatahadharisha viongozi wa baadae....

 
Lakini waliopokea hizo amri feki za Jiwe wapo hakuna uwezekano wa kuwajibishwa?

Lile jamaa na ndugayi walimvua hadi Lisu ubunge wakazuia matibabu yaani sijui ni binadamu wa aina gani alikuwa
Mungu ataadhibu tu kwani Le mutuz aliyekwenda Dodoma na Bashite kumshambulia Tundu lisu sasa yupo hoi India, huku nyaulingo alishuka na Bunduki kumpiga risasi yupo hoi ni kiwete baada ya kupata ajali mbaya Bagamoyo akapoteza miguu yote, Bashite na yeye yupo benchi huku akitarajia changamoto zaidi na zaidi mbeleni malipo ni hapa hapa Duniani
 
Wauza madawa ya kulevya na mafisadi ndiyo waliokuwa hawampendi kwa sababu ya kuwashughulikia lakini watz waliowengi bado wanampenda na watamuenzi milele na milele.
Watanzania wa wapi unawasemea? Mzunguko wa pesa ulipotea, watumishi wa umma miaka mitano bila nyongeza za mishahara, wafanyabiashara kutwa kubambikiwa kodi wanafungiwa account zao, wewe utakuwa ni mnufaika wa udikiteta wa marehemu magufuli
 
Huyo yupo giua
Nina wasi wasi na elimu yako. Ngoja nikupe mfano mdogo.
Kulikuwa na watumishi waliokuwa wanatumia vyeti feki, na walifukuzwa kazi. Hao watumishi waliofukuzwa kazi umeshawahi kuwasikia wamekufa njaa?
Account za Mbowe zimefungwa. Unafikiri Mbowe anategemea hizo pesa za kwenye account aweze kuishi? Mbali ya kuwa mwanasiasa ni mfanyabiashara, kwahiyo anafungua account nyingine hata kwa jina la mwanae, anaendelea kufanya biashara.
Unaonesha hata maji ya bombani yakikatika mwaka mzima. Huwezi kuoga mpaka uyasubirie yaje
[/QUOTEf
Nashukuru Mungu sasa nipo free kutokana na Mambo ya Siasa walichonitenda kina Mdee,EL n.k inatosha...Am doing my own business nw!!
Funguka mkuu
 
Hayo ya kufungiwa tuyaache Kwanza..je alikuwa anadaiwa au alikuwa Hana Deni??
 
Back
Top Bottom