Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kwani nilazima uweke hela zote benki je unajua unaweza kuweka hela benki za nje pia 'sisi huku tunaweka hela kwenye kibubu'Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Nasikia hawa akina Mbowe ni matajiri sana na wana vitega uchumi vingi nchi za nje, Nasikia ukisikia protea ujue wana mkono hapo, nk. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa kati ya Mbowe na Ndesapesa nk.Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Labda hukumjua jiweSasa naamini kuna kampeni chafu ya kumchafua JPM!
Kama ni toka 2018 alishindwa nini kuitumia ktk siasa za uchaguzi kama ilivyo kwa wanasiasa wetu kutafuta sympath!
Angebadili noti ungekufa kihoro, labda kama ulihifadhi dolarJamaa yangu wa TRA aliniuma sikio, nikatoa zote na kuhifadhi shambani. Huko bank ilibaki hela ya kuzuia tu, biashara nikafunga nikabaki nalima tu.
Duuuh asante mkuuMiaka ya mwanzoni mwa themanini baada ya nchi kutoka kwenye vita na Uganda, uchumi ulikuwa mbovu sana,
Suluhisho la Sokoine akaona wafanyabiashara ni mashetani kama Jiwe alivyoona
Akaanzisha sheria ya uhujumu uchumi, watu walikamatwa sana na kufungwa kila sehemu
Nakumbuka ndugu na jamaa wa karibu walifungwa, Nyerere hakupenda kabisa, lakini sijui kilichompata Sokoine haikuchukua muda tulizimka baada ya ajali ya kutatanisha.
Angalia hii clip Nyerere baadae miaka ya mbele alivyowatahadharisha viongozi wa baadae....
View attachment 1750040
Ni mapema mno ila kwa kauli zake anaonekana kuanza vizuri; ila kwa masuala ya Zanzibar ashauriwe kujiridhisha kikamilifu kabla ya kuchukua hatua anazoonekana kuzifikiria kuzichukua maana mambo menghine ni irreversible, siyo kama vile alivyoteua mtu leo kesho yake akabadili!Tupo kwenye mikono salama kama taifa mama samia ninamuamini sana, atatufikisha salama hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Dotto jamesHalafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?...
Yaani nilikuwa nikisikia anasema anaweza kubadili hela, roho ilikuwa inapasuka paaaa. Acheni shetani aitwe shetani tu.Angebadili noti ungekufa kihoro, labda kama ulihifadhi dolar
Kama hufanyi biashara, ni ngumu sana kujua akili za wafanyabiashara. Kwa politician wa level yake, hawezi kuweka mayai yote KWENYE KAPU MOJA. Najua umeelewaMbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Doto aliteuliwa akiwa maskini lakini sasa ni tajiri kuliko MaelezoDotto james
Hivi meko aliwezaje kuteka akili za mataga kwa kiwango kile mpaka wakamwamini eti kuwa ni mzalendo na anapambana na ufisadi? Ama kweli kuwa CCM inahitaji kujitoa ufahamu.Ngoja yale mateja yaje kumtetea. Huyu jamaa ndio mwanasiasa pekee wa upinzani aliefanikiwa kutembea na maelfu ya akili za wanachama wake ndan ya mfuko wa suruali. Nimeamini kuwa "bora uwe mlemavu wa mwili kuliko wa akili" kama yale majamaa
Amekugusa pale pale panapowashaUnafahamu jinsia yako?
Lingekuwa taifa linalojitambua MEKO, angewezaje kufanya ujinga ule wote huku akiimbiwa mapambio?!!leo hayupo ndio MISUKULE YAKE, yote inajfanya kumkataaa!!!huyo mzee wa safura, alikuwa wapi kusema kuwa meko, alipotoshwa juu ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo?TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!...