Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kwani nilazima uweke hela zote benki je unajua unaweza kuweka hela benki za nje pia 'sisi huku tunaweka hela kwenye kibubu'
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Nasikia hawa akina Mbowe ni matajiri sana na wana vitega uchumi vingi nchi za nje, Nasikia ukisikia protea ujue wana mkono hapo, nk. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa kati ya Mbowe na Ndesapesa nk.
 
Jamaa yangu wa TRA aliniuma sikio, nikatoa zote na kuhifadhi shambani. Huko bank ilibaki hela ya kuzuia tu, biashara nikafunga nikabaki nalima tu.
Angebadili noti ungekufa kihoro, labda kama ulihifadhi dolar
 
Miaka ya mwanzoni mwa themanini baada ya nchi kutoka kwenye vita na Uganda, uchumi ulikuwa mbovu sana,
Suluhisho la Sokoine akaona wafanyabiashara ni mashetani kama Jiwe alivyoona
Akaanzisha sheria ya uhujumu uchumi, watu walikamatwa sana na kufungwa kila sehemu
Nakumbuka ndugu na jamaa wa karibu walifungwa, Nyerere hakupenda kabisa, lakini sijui kilichompata Sokoine haikuchukua muda tulizimka baada ya ajali ya kutatanisha.
Angalia hii clip Nyerere baadae miaka ya mbele alivyowatahadharisha viongozi wa baadae....

View attachment 1750040
Duuuh asante mkuu
 
Tupo kwenye mikono salama kama taifa mama samia ninamuamini sana, atatufikisha salama hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mapema mno ila kwa kauli zake anaonekana kuanza vizuri; ila kwa masuala ya Zanzibar ashauriwe kujiridhisha kikamilifu kabla ya kuchukua hatua anazoonekana kuzifikiria kuzichukua maana mambo menghine ni irreversible, siyo kama vile alivyoteua mtu leo kesho yake akabadili!
 
Angebadili noti ungekufa kihoro, labda kama ulihifadhi dolar
Yaani nilikuwa nikisikia anasema anaweza kubadili hela, roho ilikuwa inapasuka paaaa. Acheni shetani aitwe shetani tu.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kama hufanyi biashara, ni ngumu sana kujua akili za wafanyabiashara. Kwa politician wa level yake, hawezi kuweka mayai yote KWENYE KAPU MOJA. Najua umeelewa
 
Ila mwendazake alikuwa anaroho ngumu mno.. sijui hata kanisani alikuwa anaenda kufanya nini
 
TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI

Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!

Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.

Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?

Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
 
Ngoja yale mateja yaje kumtetea. Huyu jamaa ndio mwanasiasa pekee wa upinzani aliefanikiwa kutembea na maelfu ya akili za wanachama wake ndani ya mfuko wa suruali. Nimeamini kuwa "bora uwe mlemavu wa mwili kuliko wa akili" kama yale majamaa
 
Ngoja yale mateja yaje kumtetea. Huyu jamaa ndio mwanasiasa pekee wa upinzani aliefanikiwa kutembea na maelfu ya akili za wanachama wake ndan ya mfuko wa suruali. Nimeamini kuwa "bora uwe mlemavu wa mwili kuliko wa akili" kama yale majamaa
Hivi meko aliwezaje kuteka akili za mataga kwa kiwango kile mpaka wakamwamini eti kuwa ni mzalendo na anapambana na ufisadi? Ama kweli kuwa CCM inahitaji kujitoa ufahamu.
 
Ifike mahali hii nchi ianze kutenda haki kwenye kila dhuluma iliyofanyika, yaliyomtokea Raia halali na mwema Mh Mbowe kila mtu ameyasikia, na wakati haya yanatendwa Philipo Mpango alikuwa Waziri wa fedha, hakuna ambacho hakukifahamu.

Sasa basi ili tumalize jambo hili basi ni vema wale wote walio hai na ambao walihusika na dhuluma hii wakamatwe na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kutumia madaraka yao vibaya, tuhuma hizi zinaangukia kwenye Uhujumu uchumi, nina hakika wahusika wote ambao hawajafa wanafahamika.

Lingine ni hili, Serikali imrejeshee Freeman Mbowe mabilioni yake yalioibwa kishamba haraka sana na Serikali ya awamu ya 5 chini ya Magufuli, hii itasaidia serikali mpya kupata huruma ya Mungu.
 
TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!...
Lingekuwa taifa linalojitambua MEKO, angewezaje kufanya ujinga ule wote huku akiimbiwa mapambio?!!leo hayupo ndio MISUKULE YAKE, yote inajfanya kumkataaa!!!huyo mzee wa safura, alikuwa wapi kusema kuwa meko, alipotoshwa juu ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo?

Huyo muhongo alikuwa wapi kusema kuwa bwana la nyerere halina tija!?kigwangala alikuwa wapi kutoa msimamo huo juu ya corona??mtasema yote lakini kubwa kuliko "HAYUPO TENA"
 
Back
Top Bottom