Miaka ya mwanzoni mwa themanini baada ya nchi kutoka kwenye vita na Uganda, uchumi ulikuwa mbovu sana,
Suluhisho la Sokoine akaona wafanyabiashara ni mashetani kama Jiwe alivyoona
Akaanzisha sheria ya uhujumu uchumi, watu walikamatwa sana na kufungwa kila sehemu
Nakumbuka ndugu na jamaa wa karibu walifungwa, Nyerere hakupenda kabisa, lakini sijui kilichompata Sokoine haikuchukua muda tulizimka baada ya ajali ya kutatanisha.
Angalia hii clip Nyerere baadae miaka ya mbele alivyowatahadharisha viongozi wa baadae....
View attachment 1750040