Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Tumia akili kidogo tu, mfano hiyo Hotel ya Kitalii huko Machame aliyoikodisha, malipo ya kutwa angeyaweka wapi wakati akaunti imefungwa.
Mwendazake alitakiwa amfunge mikono kabisa na sio kumbomolea RSVP au kumtuma kigwangala akalishe wanyama pori katika shamba la mpunga huko Kilombero, Mshahara wa Bunge aliendelea kupokea na hakuuweka ktk Akaunti hizo
Hatuweki tena pesa zetu Banki au Vodacom kwani hawana siri bora ukalale nazo
 
Facebook nao n mtandao ..? Si ni wajinga wajinga tuu humo
Facebook sio mtando Wa kuibua na kujadili mijadala kama Twitter na Jamiiforums


Unavyosema Facebook "nao ni mtandao?"
Unajua Facebook inawatumiaji billion ngapi?(monthly active)?

Humu sidhani hata kama 10,000 tunafika
 
Really?

Ila kitendo cha serikali kuteketeza kwa moto shamba lake la maua lenye uwekezaji wa thamani ya Tshs. 500,000,000 huko huko Hai chini ya usimamizi wa DC wa Hai (Mwanasiasa na mCCM) Ole Sabaya, inaweza kuthibitisha madai haya...

CCM walikuwa wanamtaka huyu jamaa aunge juhudi kwa kutumia mbinu zote ikiwemo kuhakikisha anafirisika kabisa...

Serikali ya CCM ya Maguguli ilikuwa ikishindwa kukupata kwenye eneo la uchumi wako, yeye mwenyewe personally alikuwa na STATE HOUSE SPECIAL SPONSORED ASSASSINATION BRIGADE cha kutesa, kuumiza, kisha kupotezwa na kuua kabisa kwa sumu au bunduki/risasi...

This guy was monster and a beast...

Lol, huyu mtu ni haki na halali yake kuondolewa kwa njia ya kifo...

Bora amekufa kwa kweli...
 
Mbowe, ana haki ya kumshambulia kama ailifungiwa accounts zake na kufilisiwa kubambikizwa makodi huyo ni adui yako. Kwa nini asingejifunza kwa JK jinsi ya kuishi na wapinzani.
 
Facebook sio mtando Wa kuibua na kujadili mijadala kama Twitter na Jamiiforums


Unavyosema Facebook "nao ni mtandao?"
Unajua Facebook inawatumiaji billion ngapi?(monthly active)?

Humu sidhani hata kama 10,000 tunafika
JF ina subscribers wanakaribia 1,000,000 sasa..
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Wewe nafikiri uwezo wako wa kufikiri upo chini zaidi ya 0.
Hujui Mbowe ana biashara zake Dubai?
Hivi shule mlienda kufuata bulga na magimbi tu?
 
QUOTE="ras jeff kapita, post: 38690890, member: 267367"]
Aache mbwe mbwe na uongo aweke ushahidi
[/QUOTE]

Maneno ya Mbowe sio ya utani ametamka na dunia nzima imejua .
Mbowe hawezi kusema uongo anajua anaweza kuombwa ushahidi siku yoyote na mahala popote .

Huko mbele kwa matukio Kama haya huwa kunatokeaga kuundwa tume au Mahakama za kiuchunguzi au upatanisho,Mbowe anaweza kuombwa kutoa ushahidi analijua Hilo na Ana wanasheria wake hawezi sema uongo.
Ila hawezi kukupa ushahidi wewe mtu masikini usie na elimu Wala akili,mla mlo mmoja kwa siku,zumbukuku Fulani hivi unaesubiri kutumwa kuua watu wema.
 
Cc mkorinto haya yote anaona ni sahihi kufanyiwa wapinzani
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Mumeo Bashite yuko wapi siku hizi?
 
Wewe ndo mtetezi wa wanyonge?! Toa Wewe ushahidi, kwamba Mbowe hajaibiwa! Suala la kuzaa nini? Kwani mama ake Kabendera hakuzaa? Au wazazi wa saa8 hawakuzaa?! Kwa hiyo kwamba Mtu ana umri wa kutuzaa tupotezee ukatili wake?!
Mamlaka na taasisi zilizohusika kufanya hayo zipo kwanini watendewa hawaendi kushiktaki?
Unapo ona kuna mahala ukutendewa ndivyo sivyo ni wajibu wako kuchukua hatua stahiki kuliko kulalamika na kumuattack mtu mmoja kibaya zaidi hayupo.
Serikali ni taasisi sio mtu personal, paper works zipo.
Mbona mnakuwa kama sio wasomi.
Ndio maana CAG ameweka kila kitu kisomi ni jukumu la wahusika kuchuliwa hatua /kujibu hoja za CAG vikiwemo vyama vya siasa,taasisi na wakala wa Serikali.
Hoja ya Mh. Mbowe aiweke kimaandishi na kuwasilisha kunako husika TRA.
 
Halafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?

Tupate ushahidi wa ndugu zake na Magufuli ambao aliwapendelea na hawakua na sufa kwenye nafasi za kiutumishi.

Hii kampeni ya ukabila inapigiwa chapuo sana na makabila ya kaskazini. Wanajitahidi kutaka kufukia tabia yao ya ukabila nchi hii. Mfano, Kimei amejaza wachaga CRDB.
Ukitaka ushahidi nenda mahakamani
 
Unalialia nini ww mkwepa kodi[emoji12]! Ulizoea kukwepa kodi na kujifanya mwamba! Wamekuja wanaojua kazi zao kukusanya maduhuri unalialia mfyuuuuuu! Unatafuta huruma eeh! Kalipe kodi kaka hutaki dhida vinginevyo utalaumu wasiolaumiwa! Safi sana wakusanya kodi, mlifanya kazi njema[emoji123]!
 
Back
Top Bottom