Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Tumia akili kidogo tu, mfano hiyo Hotel ya Kitalii huko Machame aliyoikodisha, malipo ya kutwa angeyaweka wapi wakati akaunti imefungwa.Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Mwendazake alitakiwa amfunge mikono kabisa na sio kumbomolea RSVP au kumtuma kigwangala akalishe wanyama pori katika shamba la mpunga huko Kilombero, Mshahara wa Bunge aliendelea kupokea na hakuuweka ktk Akaunti hizo
Hatuweki tena pesa zetu Banki au Vodacom kwani hawana siri bora ukalale nazo