Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Fungua akili kidogo basi. Sio kila mtu unafanana naye, kumbuka Mbowe ameingia kwenye biashara iliyojengwa tangu 1930s...wafanya biashara wakubwa hawaweki pesa pahala pamoja.
Na ni mabigwa wa kukwepa kodi
 
nasikia yusuph manji anajipanga kurudi tanzania. aliondoka nchini baada ya kufanyiwa ukatili na jiwe. na wote tulishuhudia.

so tutegemee kusikia mengi ya namna kama hii kutoka kwa manji. hata mfanyabiashara mo dewji ipo siku atazungumzia tukio la kutekwa kwake na masharti aliyopewa na waliomteka mpaka akaachiwa huru.

tuendelee kuvuta subira.
 
Dah....hivi mnamuamini huyu jamaa? Kwanini asiyasema haya wakati Jiwe yuko hai?[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ungepata confidence ya kusema wakati jiwe akiwa hai.?

katika wote waliotekwa na kupatikana baadae enzi za utawala wa jiwe, yupo ambaye aliwahi kuzungumzia yaliyompata?.


uoga huohuo uliowaopata wao, ndio huohuo alioupata mbowe.
 
Halafu anatokea sheikh uchwara anamuombea dua kwa jina la yesu,na huu ukatili hata yesu akirudi atastuka,
 
Kakika Magufuli atabaki kuwa shujaa, haya yalitokea 2018 laikini yanasemwa leo baada ya kuwa marehemu.

Magufuli utabaki kuwa mwamba wa Africa.
Kweli kabisa mkuu. MAGUFULI atabaki kuwa shujaa mbele ya shetani. Hata huko aliko shetani amekiri kuwa magu kamzidi.
 
Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.

Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato

Magu alimfanyia ukatili sana Mbowe tuseme ukweli. Lakini hata mtanzania yeyote ukimfanyia hivi ni dhambi sana
 
Fala utakuwa wewe pamoja na ukoo wako mzima, kama alikuwa hataki kulipa kodi kwanini asishughulikiwe, Magufuli alikuwa mwamba kwelikweli ndiyo mafisadi yote yalihama nchi.

Wewe ni fala tena fala mkubwa .
Acha mikwara visa, chuki, fitina na Kodi wapi na wapi.
 
Magufuli ameitwa na Mungu kupisha uchunguzi. Urais wake umetenguliwa.
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Ambaye hakufuata Sheria tumemzika chato na waliokuwa wanafuata Sheria bado MUNGU anawalinda ingawa walipigwa risasi na kubambikiziwa kesi LAKINI MUNGU akawakingia kifua.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
jitaid bas kufikiri fikiri kidogo. vyanzo vya pesa kuna vya nje na ndan kama hotels na real estates za nje.
 
Imagine mtu sababu yeye haruhusiwi kupanda ndege umbali mrefu sababu ya pacemaker akazuia watumishi wa umma safari za nje kwa kisingizio cha uzalendo na kubana matumizi...aliona wangefaidi sana

Huyu jamaa huyu
Bora kaenda.....aliona wivu wafanyabiashara wanapata faida wakati yeye biashara zimemshinda akaona bora awazulumu hela zao na kufreez acc zao kwa nguvu
 
Mbowe mbona haya unayasema sasa?

Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?
Kwani uliwahi kumsikia hata kwa yale mliyoyaona? Alichagua kukaa kimya, hivyo kama ameamua kuingea sasa ni utashi wake na zaidi mazingira yanamruhusu sababu tayari yaliyotokea ni reference.
 
Ukiangalia likes za kwenye mada pamoja na comments zenye kusikitika juu ya uonevu huu utagundua watu wengi hawakulipenda jiwe
 
Asante Mungu kwa kutuondolea Lile Jiwe.

Yule mtu hakuwa na chembe ya Ubinadamu kabisa, halafu kila siku eti "Watanzania mniombee"yaani tukuombee utese watu?
Dua za watanzania Mwenyezi Mungu alizisikia, yeye hakujuwa watu wanamuombea dua gani.
 
Back
Top Bottom