Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Mnavyomshobokea utasema ametokana na chama chenuWauaji wakubwa nyie...Mama hatoi Buku sasa mtalala njaa sasa...
Nyinyi bado wapinzani tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnavyomshobokea utasema ametokana na chama chenuWauaji wakubwa nyie...Mama hatoi Buku sasa mtalala njaa sasa...
Na ni mabigwa wa kukwepa kodiFungua akili kidogo basi. Sio kila mtu unafanana naye, kumbuka Mbowe ameingia kwenye biashara iliyojengwa tangu 1930s...wafanya biashara wakubwa hawaweki pesa pahala pamoja.
Bado boss wetu Mo nae afunguke walichukua ngapi kwakeHuu hali ya kusema mabaya ya marehemu sio ya
kawaida, basi alizidi sana kufanya mabaya
wewe ungepata confidence ya kusema wakati jiwe akiwa hai.?Dah....hivi mnamuamini huyu jamaa? Kwanini asiyasema haya wakati Jiwe yuko hai?[emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu. MAGUFULI atabaki kuwa shujaa mbele ya shetani. Hata huko aliko shetani amekiri kuwa magu kamzidi.Kakika Magufuli atabaki kuwa shujaa, haya yalitokea 2018 laikini yanasemwa leo baada ya kuwa marehemu.
Magufuli utabaki kuwa mwamba wa Africa.
Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.
Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato
Acha mikwara visa, chuki, fitina na Kodi wapi na wapi.Fala utakuwa wewe pamoja na ukoo wako mzima, kama alikuwa hataki kulipa kodi kwanini asishughulikiwe, Magufuli alikuwa mwamba kwelikweli ndiyo mafisadi yote yalihama nchi.
Wewe ni fala tena fala mkubwa .
Ambaye hakufuata Sheria tumemzika chato na waliokuwa wanafuata Sheria bado MUNGU anawalinda ingawa walipigwa risasi na kubambikiziwa kesi LAKINI MUNGU akawakingia kifua.Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..
Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..
Waendelee tu kuongea...........
jitaid bas kufikiri fikiri kidogo. vyanzo vya pesa kuna vya nje na ndan kama hotels na real estates za nje.Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Bora kaenda.....aliona wivu wafanyabiashara wanapata faida wakati yeye biashara zimemshinda akaona bora awazulumu hela zao na kufreez acc zao kwa nguvuImagine mtu sababu yeye haruhusiwi kupanda ndege umbali mrefu sababu ya pacemaker akazuia watumishi wa umma safari za nje kwa kisingizio cha uzalendo na kubana matumizi...aliona wangefaidi sana
Huyu jamaa huyu
Kwani uliwahi kumsikia hata kwa yale mliyoyaona? Alichagua kukaa kimya, hivyo kama ameamua kuingea sasa ni utashi wake na zaidi mazingira yanamruhusu sababu tayari yaliyotokea ni reference.Mbowe mbona haya unayasema sasa?
Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?
Dua za watanzania Mwenyezi Mungu alizisikia, yeye hakujuwa watu wanamuombea dua gani.Asante Mungu kwa kutuondolea Lile Jiwe.
Yule mtu hakuwa na chembe ya Ubinadamu kabisa, halafu kila siku eti "Watanzania mniombee"yaani tukuombee utese watu?
Jikite kwenye mada.Wewe ndio mke wake nini?