Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
CCM wamshukuru sana JPM 2015, kwa huu uelekeo sidhani kama CCM wataweza mpambano wa pande zote kuanzia Sukuma gang, CDM, CHAUMA nawatanzania wote tusiopenda CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tukigundua mkataba umeleta hasara hata pension na stahili zingine za urais bora tumnyime maana ni mhujumu wa uchumi huyoSaa100 kukaa kimya ni kusababisha uonekane 2025 hukubaliki.
Tokea nje ongea na watanganyika ndipo kura ziliko vinginevyo utakwenda kulima karafuu 2025.
Kwani agenda maana yake nini? Hebu tuanzie hapo kwanza...Mbowe na CHADEMA kwa ujumla wamekosa agenda na kuamua kurukia ishu ya bandari.
Peleka uma_laya wako kwenu usituchosheKengeza tunamchukia sana kwa sababu ya dhihaka na kufurahia kifo cha Dkt Magufuli mpaka siku akifa ndiyo chuki itaisha
Kengeza anapulizwa! Hii chuki itaendeleq as long as kengeza hatoomba msamaha jinga sanaPeleka uma_laya wako kwenu usituchoshe
Bado nasisitiza hiyo tabia yako peleka kwenuKengeza anapulizwa! Hii chuki itaendeleq as long as kengeza hatoomba msamaha jinga sana
MkuuAsante sana, tunasubiria kwa hamu.
P
Hakuna mtu mwenye akili anayeweza kufurahiwa na kushangiliwa na mtu mwendawazimu.Kengeza anapulizwa! Hii chuki itaendeleq as long as kengeza hatoomba msamaha jinga sana
Afadhali sisi CCM, Dkt Magufuli alikuwa rais, mama Samia anaupiga mwingi, nyie tu mmeshindwa kumuondoa dikiteta kwenye uenyekiti wa kikundi chenu cha uhalifu.Hakuna mtu mwenye akili anayeweza kufurahiwa na kushangiliwa na mtu mwendawazimu.
Mtu kama wewe, kwa uduni wa akili ulio nao una msaada gani kwa Mbowe? Wala hakuhitaji wewe kwa lolote. Sana sana, anachoweza kukusaidia, labda ni kukuchangia matibabu yako kama Milembe hospital watakuwa wameshindwa.
Magufuli pia alishasema hivyo.Je nini maana yake ?
Bunge lilikosea ?
Na sisi tuache kujadili ?
Au tutafute namna nyingine ya Kuukubari au kutoukubari huu Mkataba ?
Mwambieni awe anakunywa kiasi sio mpaka anaanguka majukwaani!Hizo konyagi na mbege anazokunywa zinalipia Kodi ambayo imemsaidia Samia kuhongwa wabunge wapitishe mkataba wa DP World