Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

CCM wamshukuru sana JPM 2015, kwa huu uelekeo sidhani kama CCM wataweza mpambano wa pande zote kuanzia Sukuma gang, CDM, CHAUMA nawatanzania wote tusiopenda CCM.
 
Saa100 kukaa kimya ni kusababisha uonekane 2025 hukubaliki.

Tokea nje ongea na watanganyika ndipo kura ziliko vinginevyo utakwenda kulima karafuu 2025.
Na tukigundua mkataba umeleta hasara hata pension na stahili zingine za urais bora tumnyime maana ni mhujumu wa uchumi huyo
 
Mbowe na CHADEMA kwa ujumla wamekosa agenda na kuamua kurukia ishu ya bandari.
 
Leo mambo mawili makubwa yamezungumzwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa kwa upande wa Serikali na Mh. Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA.

Prof. Mbarawa kaeleza Uhalali wa Mkataba wa TPA na DP World na faida zake kwa taifa.

Mh. Mbowe kaeleza ubatili wa Mkataba wa TPA na DP World na hasara zake kwa taifa.

Ila Mbowe akaenda mbali zaidi kwa kutangaza Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu

Ndio nauliza Hii Operesheni itakuwa ya Kizalendo kweli?

Tuokoe au Tuboreshe Mkataba?

Jumaa kareem!
 
Haki sawa kwa wote. Wanaosifia mkataba nao waitwe Polisi wakatoe maelezo 🤣🤣🤣
 
Kengeza anapulizwa! Hii chuki itaendeleq as long as kengeza hatoomba msamaha jinga sana
Hakuna mtu mwenye akili anayeweza kufurahiwa na kushangiliwa na mtu mwendawazimu.

Mtu kama wewe, kwa uduni wa akili ulio nao una msaada gani kwa Mbowe? Wala hakuhitaji wewe kwa lolote. Sana sana, anachoweza kukusaidia, labda ni kukuchangia matibabu yako kama Milembe hospital watakuwa wameshindwa.
 
Ni hatari sana .

FB_IMG_1684577565617.jpg
 
Naunga mkono HOJA!!!

Japo mnaanza Kwa kuchelewa.
 
Hakuna mtu mwenye akili anayeweza kufurahiwa na kushangiliwa na mtu mwendawazimu.

Mtu kama wewe, kwa uduni wa akili ulio nao una msaada gani kwa Mbowe? Wala hakuhitaji wewe kwa lolote. Sana sana, anachoweza kukusaidia, labda ni kukuchangia matibabu yako kama Milembe hospital watakuwa wameshindwa.
Afadhali sisi CCM, Dkt Magufuli alikuwa rais, mama Samia anaupiga mwingi, nyie tu mmeshindwa kumuondoa dikiteta kwenye uenyekiti wa kikundi chenu cha uhalifu.
 
Hayo ameyasema Mwenyekiti Mbowe leo akitoa maazimio ya kamati Kuu kuhusu IGA iliyoidhinishwa na bunge tar 10/6/2023

Je nini maana yake ?
Bunge lilikosea ?
Na sisi tuache kujadili ?
Au tutafute namna nyingine ya Kuukubari au kutoukubari huu Mkataba ?​
 
Mkataba huu unalenga kuwapa DP World umiliki wa bandari zote hadi zile za maziwa makuu ambayo Serikali haitaweza kusogeza hata tofali moja bila kibali chao.
 
Back
Top Bottom