Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

Ngoja waje wavunjwe viuno wajinga kabisa. Maandamano au mikutano ya nini??? Wamuache Mama afanye kazi.
 
Kwa Katiba hii inayompa Rais mamlaka kama ya Kimungu ni ngumu kupinga chochote kuhusu Bandari

ni ukweli mchungu sana, tutaipga kelele kuongea kuweka mijadala lakini hautabadilisha kitu wanasiasa wanajua kabisa Tanzania haina hulka za fujo au maandamano kama nchi zingine udhaifu huo unawapa kiburi viongozi kufanya maamuzi yeyote
 
Mr. Paka, bado upo kwenye wimbo uliyobuma?
 
Na endapo ikatokea rais akakubali kuwa mkataba haufai wale ambao wanasifu watabadili tena na kusema rais amesikia kilio cha wananchi.Katiba yetu ni ya hovyo sana.inamfanya kabisa rais ajione anaakili kuliko watu wote wakati ni upuuzi mtupu
 
Rais anawaamini vijana wake, mkataba kama mbaya si unarekebishwa tu?
 
Kamati Kuu imeazimia kwamba ikiwa Bunge na Serikali haitachukuahatua kuhusu malalamiko ya wananchi dhidi ya mkataba wa Bandari;Chama kitaanzishe na kuhamasisha umma kuchukua hatua kali dhidi yaserikali mpaka itakapousitisha mkataba huu.

Umeamua kuwa mpuuzi,Mwabukusi ni mwanachama wa NCCR Mageuzi,afanye mikutano ya Chama chake.
CHADEMA ina program zake,usilazimishe ifuate mipango ya hicho mnakiita sauti ya watanzania kwa kisingizio cha kupigana na common enemy
Kilichowatoa Mwabukusi na Slaa CHADEMA ni nini kama wana lengo la kupigana na common enemy?

Ni hatu gani kali zaidi ya hatua na jitihada wanazozifanya kina Mwabukusi et al?

Sasa kama hiyo siyo Siasa za Visirani na Visasi utaita ni nini hiyo? Ati "Kilichowatoa CHADEMA" Yani unasema kwa vile wameondoka CHADEMA basi CHADEMA wanaweza kuwatelekeza mazima? Watu waliwarejesha CHADEMA kwenye kurasa za kwanza magazetini! Huo ndio msimamo wa CHADEMA? Kwamba ukiondoka kwenye chama then haupewei ushirikiano ama kuungwa mkono? Sasa hayo maazimio ya Kamati yao kuu yalikuwa ni geresha? Uhadaa?
 
Back
Top Bottom