ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Ngoja waje wavunjwe viuno wajinga kabisa. Maandamano au mikutano ya nini??? Wamuache Mama afanye kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya kuuza rasilimali za Taifa?Ngoja waje wavunjwe viuno wajinga kabisa. Maandamano au mikutano ya nini??? Wamuache Mama afanye kazi.
Mr. Paka, bado upo kwenye wimbo uliyobuma?Kwa Katiba hii inayompa Rais mamlaka kama ya Kimungu ni ngumu kupinga chochote kuhusu Bandari
ni ukweli mchungu sana, tutaipga kelele kuongea kuweka mijadala lakini hautabadilisha kitu wanasiasa wanajua kabisa Tanzania haina hulka za fujo au maandamano kama nchi zingine udhaifu huo unawapa kiburi viongozi kufanya maamuzi yeyote
Mr. Paka, bado upo kwenye wimbo uliyobuma?
Rais anawaamini vijana wake, mkataba kama mbaya si unarekebishwa tu?Na endapo ikatokea rais akakubali kuwa mkataba haufai wale ambao wanasifu watabadili tena na kusema rais amesikia kilio cha wananchi.Katiba yetu ni ya hovyo sana.inamfanya kabisa rais ajione anaakili kuliko watu wote wakati ni upuuzi mtupu
Kamati Kuu imeazimia kwamba ikiwa Bunge na Serikali haitachukuahatua kuhusu malalamiko ya wananchi dhidi ya mkataba wa Bandari;Chama kitaanzishe na kuhamasisha umma kuchukua hatua kali dhidi yaserikali mpaka itakapousitisha mkataba huu.
Umeamua kuwa mpuuzi,Mwabukusi ni mwanachama wa NCCR Mageuzi,afanye mikutano ya Chama chake.
CHADEMA ina program zake,usilazimishe ifuate mipango ya hicho mnakiita sauti ya watanzania kwa kisingizio cha kupigana na common enemy
Kilichowatoa Mwabukusi na Slaa CHADEMA ni nini kama wana lengo la kupigana na common enemy?