johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
OMO amemwaga cheche huko Mchambawima 😃Mnyika nimemuona. Utauliza LISSU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OMO amemwaga cheche huko Mchambawima 😃Mnyika nimemuona. Utauliza LISSU
View: https://www.youtube.com/live/JGCNth0mHCo
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe anatoa tamko la chama hiko juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania.
Huyo alikua anaongea sio kuzungumza.Lema alikuwa anaonge ja Press juzi tu.
Umeishiwa na hoja.Huyo alikua anaongea sio kuzungumza.
Mh. Mbowe anazungumza na Wanahabari muda huu makao makuu mikocheni
View: https://www.youtube.com/watch?v=E8_AR4Jg3Ow
Kwenye chombo gani cha maana cha kihabari.Tuko live
View: https://www.youtube.com/live/JGCNth0mHCo
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe anatoa tamko la chama hiko juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania.
KakininueChama anakipiga mnada!
Yupo.J J Mnyika yupo? 🐼
Mh. Mbowe anazungumza na Wanahabari muda huu makao makuu mikocheni
View: https://www.youtube.com/watch?v=E8_AR4Jg3Ow
Ulishawahi kumuuliza swali Mkiti wa CCM Samia hata mojaNilitegemea mruhusu maswali ili wenye akili wamuulize Mbowe hizi sanaa ataacha lini? Hii siyo CDM ya akina Dr. Slaa ambayo ilikuwa serious na ishu. Swali la msingi Serikali isipotekeleza mtafanyaje?