Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Tufanye yote tufanyayo DUNIANI wazi katika Mwanga au kifichoni kwenye Giza lakini kila mtu ataonja mauti. Tuishi tu kwa kupendana.
 
Kila mbabe na mbabe wake. Nilipoona Pombeo kakohoa nikajua leo jua halizami
Hivi ilikuwaje Lissu wakamwachia haraka utadhani wameshika kaa la moto? Hapo sikuelewa yaani. Halafu siku ile IGP alifoka Lissu aripoti polisi Moshi, baadae polisi wakanywea, nini kilitokea?
 
Mungu ana muda wake, lakini hakika kila uovu utahukumiwa. Acheni Mungu aitwe Mungu
 
Cha ajabu Mungu nae anawaacha wanaendelea huku anacheka cheka tu huko mbinguni..He..he..he..he...

Pumbav kabisa
Mkuu umeenda mbali mno! Mwenyezi Mungu hadhiakiwi hivyo. Ana namna yake ya kutenda
 
Cha ajabu Mungu nae anawaacha wanaendelea huku anacheka cheka tu huko mbinguni..He..he..he..he...

Pumbav kabisa
Angalia mwishowe utakua na dhambi kubwa kuliko hata Magu. Pumbavu...??? Nani unamtukana??? Hakuna siku utashinda ukipigana una hasira. Mapambano yanahitaji kujipanga sawasawa. Kumbuka hekima ya Mungu iko juu mbali kabisa.
 
Duh
 
Hivi ilikuwaje Lissu wakamwachia haraka utadhani wameshika kaa la moto? Hapo sikuelewa yaani. Halafu siku ile IGP alifoka Lissu aripoti polisi Moshi, baadae polisi wakanywea, nini kilitokea?
Jamani mwenzenu Tundu Lissu ana hamu ya kwenda kwao Belgium, wenzenu wame-miss kwa siku nyingi. Ile shughuli ukishazoea huwezi kuiacha jamani mswalie mtume! Kuweni na huruma.
 
Mbona hamna maandamano nchi nzima?
Sasa hii imekula kwao.
Unahamasisha watu harafu wana mute?
Dalili ya kukataliwa. Laana imeanza kuwala mdogo mdogo.
Hebu acha kuchosha shingo yako kwa kuibebesha dafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…