Usipoteze muda wako kumjibu Gentamycine, anapenda attention sana hako kajamaaHiyo kambi ni ya makazi ya askari, na hospitali ya jeshi, haina siri za kuficha kihiivyo.
Maana raia wanaruhusiwa hapo 24/7 kama wakazi wa katika nyumba za ndugu zao wanajeshi na pia kama wagonjwa hospitali, halafu kuna shule pia pale, kwahiyo sio sensitive kihivyo.
hahhaahaaaa aiseee nimejaribu kuimagine hakika umenena!Hazitalipa kabisa maana ukifungua duka pale utakopwa hadi ufilisike
We ndio unajua mambo ya kijeshi kuliko waliojenga hizo fremu? Waswahili kwa ujuaji nimewanyoshea mikono kila kitu mnajuaHauko 'Security Conscious' hivyo huna unachokijua na tafafhali acha Kunipotezea muda ila kuna Siku Tanzania ikivamiwa kirahisi na Watanzania kuwa Mali ya Nchi nyingine ndiyo mtatuelewa Wenye Akili Kubwa, Maono na Machale ya Kutukuka.
Nikijua Mambo mengi 'unakereka' nini?We ndio unajua mambo ya kijeshi kuliko waliojenga hizo fremu? Waswahili kwa ujuaji nimewanyoshea mikono kila kitu mnajua
Hapo kuna jeshi na kambi sasa izo frem zanini au ndiyo upigaji na kazi iendeleeHizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.
Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe yaani ni nyingi sana!
Je, hizi zitapangishwa kwa familia za askari tu au hata mtu ambaye sio askari ataruhusiwa?
Ndugu yangu nadhani hufahamu umuhimu wa 34 Kj hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Sisi tunaiita 'CORINTO'. Siwezi sema zaidi maana nilikula kiapo. Bila 'CORINTO' utawala wa Rais Rene wa Seychelles usinge- survive. Niishie hapoHiyo kambi ni ya makazi ya askari, na hospitali ya jeshi, haina siri za kuficha kihiivyo.
Maana raia wanaruhusiwa hapo 24/7 kama wakazi wa katika nyumba za ndugu zao wanajeshi na pia kama wagonjwa hospitali, halafu kuna shule pia pale, kwahiyo sio sensitive kihivyo.
Sawa inakusaidia wewe mjuajiNikijua Mambo mengi 'unakereka' nini?
UNALIDHARAU JESHI LA TANZANIA LINALOKULINDA, BASI RUDI KWENU MKIMBIZI WEWE, YOU DAYS ARE NUMBERED
Tulia uliza upewe maelekezo Jeshi halijawahi kukosea
Siku zote Mpumbavu akikosolewa au akiambiwa Ukweli ili ajifunze na abadilike hukasirika na huona anadharaulika.
Kuhusu kuniambia GENTAMYCINE kuwa my days are numbered Wala isikusumbue sana kwa hata 50% ya Mabosi wa Taasisi ya Wasiojulikana wanaijua hii ID na wananijua ndani nje hivyo wakinihitaji hata sasa wanajua kwa Kunipata.
Tena nikiuwawa kwa kusema Ukweli nitashukuru na Kufurahi mno kwani najua kwa Walioniua wataona Wameniweza na Kunikomoa ila kwa Mwenyezi Mungu na Malaika wake Mikaela na Jibril nitaonekana ni Shujaa na Mtu nisiye Mnafiki.
Siku nyingine ukipita hapo waulizeHizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.
Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe yaani ni nyingi sana!
Je, hizi zitapangishwa kwa familia za askari tu au hata mtu ambaye sio askari ataruhusiwa?
Vile vifrem vidogo sana. Vyumba kama vya lock up.
Mtu ana opt katika uwekezaji, anafanya tathimini kwanza, kila aina ya uwekezaji, faida pamoja na changamoto zake, kisha anafikia muafaka nini awekeze.Samahanini Naomba nitoke nje kidogo ya mada, hivi kwanini watu wengi wanapenda sana kujrnga fremu za biashara na sio vyumba vya kupanga!!?
Time change, majeshi duniani ni ya kisasa mno, kujenga frem outskirts hakuna tabu yoyote alikradi tu ni akina nani watapangishwa (we have friendly army but dangerous to nation enemy)
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app