Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Hiyo kambi ni ya makazi ya askari, na hospitali ya jeshi, haina siri za kuficha kihiivyo.

Maana raia wanaruhusiwa hapo 24/7 kama wakazi wa katika nyumba za ndugu zao wanajeshi na pia kama wagonjwa hospitali, halafu kuna shule pia pale, kwahiyo sio sensitive kihivyo.
Usipoteze muda wako kumjibu Gentamycine, anapenda attention sana hako kajamaa
 
Hauko 'Security Conscious' hivyo huna unachokijua na tafafhali acha Kunipotezea muda ila kuna Siku Tanzania ikivamiwa kirahisi na Watanzania kuwa Mali ya Nchi nyingine ndiyo mtatuelewa Wenye Akili Kubwa, Maono na Machale ya Kutukuka.
We ndio unajua mambo ya kijeshi kuliko waliojenga hizo fremu? Waswahili kwa ujuaji nimewanyoshea mikono kila kitu mnajua
 
Hizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.

Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe yaani ni nyingi sana!

Je, hizi zitapangishwa kwa familia za askari tu au hata mtu ambaye sio askari ataruhusiwa?
Hapo kuna jeshi na kambi sasa izo frem zanini au ndiyo upigaji na kazi iendelee
 
Hiyo kambi ni ya makazi ya askari, na hospitali ya jeshi, haina siri za kuficha kihiivyo.

Maana raia wanaruhusiwa hapo 24/7 kama wakazi wa katika nyumba za ndugu zao wanajeshi na pia kama wagonjwa hospitali, halafu kuna shule pia pale, kwahiyo sio sensitive kihivyo.
Ndugu yangu nadhani hufahamu umuhimu wa 34 Kj hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Sisi tunaiita 'CORINTO'. Siwezi sema zaidi maana nilikula kiapo. Bila 'CORINTO' utawala wa Rais Rene wa Seychelles usinge- survive. Niishie hapo
 
Ila ujenzi wa hizo frame umekuwa wa hovyooo kabisaa sijui kwa nini hatuna ubunifu kwenye ujenzi yaaani zimejengwa holela holela sana ilitakiwa itoke ramani ambayo ingekuwa kwa frame zote sio kama zilivvyo
 
Acha uoga,unatishwa,unatishika?Tulia.
Siku zote Mpumbavu akikosolewa au akiambiwa Ukweli ili ajifunze na abadilike hukasirika na huona anadharaulika.

Kuhusu kuniambia GENTAMYCINE kuwa my days are numbered Wala isikusumbue sana kwa hata 50% ya Mabosi wa Taasisi ya Wasiojulikana wanaijua hii ID na wananijua ndani nje hivyo wakinihitaji hata sasa wanajua kwa Kunipata.

Tena nikiuwawa kwa kusema Ukweli nitashukuru na Kufurahi mno kwani najua kwa Walioniua wataona Wameniweza na Kunikomoa ila kwa Mwenyezi Mungu na Malaika wake Mikaela na Jibril nitaonekana ni Shujaa na Mtu nisiye Mnafiki.
 
Hizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.

Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe yaani ni nyingi sana!

Je, hizi zitapangishwa kwa familia za askari tu au hata mtu ambaye sio askari ataruhusiwa?
Siku nyingine ukipita hapo waulize
 
Inaenda hivyo baadaye jeshi linahama na wanawapa taasisi za kirahia eneo hilo.
 
Samahanini Naomba nitoke nje kidogo ya mada, hivi kwanini watu wengi wanapenda sana kujrnga fremu za biashara na sio vyumba vya kupanga!!?
 
Nadhani ingependeza kama Stendi ya mabasi ikajengwa mara baada ya Posta ya Kawe eneo lile ambalo wajeda walianza kulevel na greda.

Si vibaya mradi wa stendi ukaendeshwa kwa PPP kati ya Jeshi na Halmashauri kama vile stendi ya makumbusho inavyoendeshwa kati ya Mzee Maganga RIP na haashauri ya jiji.
 
Samahanini Naomba nitoke nje kidogo ya mada, hivi kwanini watu wengi wanapenda sana kujrnga fremu za biashara na sio vyumba vya kupanga!!?
Mtu ana opt katika uwekezaji, anafanya tathimini kwanza, kila aina ya uwekezaji, faida pamoja na changamoto zake, kisha anafikia muafaka nini awekeze.

Kuhusu fremu na vyumba vya kupangisha wapangaji wakazi ni bora fremu, lakini inategemeana na eneo.

Biashara ya frem kama inaenda vizuri, mpangaji hasiti wala kuzungusha kodi.

Lakini kupangisha wakazi ni biashara pasua kichwa sana kuliko mtu asiyeifanya anavyodhania!

Ukwepaji na visingizio vya ucheleweshaji wa malipo ni jadi ya wapangaji, hilo ukae ukijua.

Ukiwekeza mradi wa vyumba vya wakazi usiwe na haraka na kodi zao, maana mwisho wa siku watakutia presha.
 
Kwa binafsi yangu siungi mkono huo ujenzi kwenye kambi ya jeshi ila Sina sababu
 
Wanajeshi WA siku hizi Wanajeshi basi, hivi unschezeaje eneo kujenga vibanda
 
Time change, majeshi duniani ni ya kisasa mno, kujenga frem outskirts hakuna tabu yoyote alikradi tu ni akina nani watapangishwa (we have friendly army but dangerous to nation enemy)

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Mimi nashangaa eti ipo siku itachukuliwa nchi

Kweli tembea uone
Hapa Jirani yangu kuna kambi ndogo ya wanajeshi tena ni residential area na ninapita kila siku mlangoni wamekaa askari wawili bila silaha ni nchi tajiri na wala hawaoni kama ni tatizo

Leo sisi tuna nini nchi ishikwe [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom